Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Isije ukasema nimekukumbia ila mtandao umeshuka sana
Screenshot_20220823-065417_Chrome.jpg
 
Kwenye mchezo huu bado mm ndie mbabe hadi mda huu naendeleza kuwachapa taratibu.
Haya nimatokeo yangu dhidi ya adriz
 
Attachments

  • Screenshot_20220823-064836_DLS22.jpg
    Screenshot_20220823-064836_DLS22.jpg
    107 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220823-063838_DLS22.jpg
    Screenshot_20220823-063838_DLS22.jpg
    99.6 KB · Views: 6
Wewe bado sana mechi moja tu umebahatisha na hapo ndio mwisho hutoboi tena.
Mm nilikuambia mapema kama unakumbuka kikosi changu kipo dhaifu ila nikisajiri utapigwa sana.we hukutaka kusikia ukaongea sana humu,ukatamba sana humu na ukajisahau sana humu na sasa unalialia. Hunifungi tena nakuahidi adriz
 
Twende saaa hivi kama unajiamini
 
Mwenzako alikuwa anaongea sana ila sasa anaomba poo. Na ww acha kuongea ili yasikukute yanayomkuta adriz mda huu maana amekuwa ni mtu wa kuonewa huruma
Wewe si nilikupiga mpk ukakimbia ? shinda angalau mechi tatu dhidi yangu kisha uwe na kauli za kishujaa unajiamini wakati kwenye mechi kumi umeshinda moja huo si ukichaa 😂😂😆
 
Wewe si nilikupiga mpk ukakimbia ? shinda angalau mechi tatu dhidi yangu kisha uwe na kauli za kishujaa unajiamini wakati kwenye mechi kumi umeshinda moja huo si ukichaa 😂😂😆
Neno moja kwa game tulizocheza leo, ndio haya?
 
Kuongezeka kidogo mwanzo nikicheza na wewe nawaza kushinda goli 5 sasa hivi inabidi niwaze 3 tu.
Hahahaha woyo woyo woyoooooo ameanza kukubali mwenyeweeee ila mm bado nawaza kushinda goli kuanzia 5+ nikicheza na wewe. Ila mzee baba Neymar' na Mane unawatumia vizuri sana hadi wananipa shida kuwakaba kwa ile speed na nguvu yao
 
Wale hatari sana kwa akili yao nimekuza Mbape,Ronaldo,Benzema na Kane wote nk kila nikiwasajili naona hawawazidi hao majamaa na hapo nimewajaza Wana 86 je wakififa 90 au 90+ si timu yangu itakua moto kabisa ...
 
Back
Top Bottom