Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Kausha naenda msikitini ngoja nirudi.
Umeogopa kichapo zaid hadi unakimbia
Screenshot_2022-08-26-19-32-41-477_com.firsttouchgames.dls7.jpg
 
Leo umeniotea na ni mara yako ya kwanza kunifunga nitarudi upya ,humu hakuna aliyewahi kunifunga siku mbili tofauti ukiweka rekodi hiyo nakuachia ufalme rasmi.
Kipindi kile nilkua na kikosi kibovu, sahau kunifunga tena
 
Master yupo hapa kwa anaeihitaji kichapo
Acha kujiita Master na kuchukua cheo changu wakati tokea unizidi siku ya kwanza hujawahi tena na umekua kiande wangu kila siku.

Lipiganie jina kisha ujiite nado upo levo za kangaloo halafu unajiita Master 😂😂😆
 
Back
Top Bottom