Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

adriz labda nikuambie tu, naona sasa imetosha, kama kufurahi umefurahi mno, umetamba vya kutosha

Kikubwa nilichokiplan tuende kwa facts na sasa hamna noma

Fene sasa nimeenda kufungua kile kitabu changu nilichopewa na babu yangu ili niichukue hii himaya rasmi

Waambie hao nduguzo kina frastruation na wengineo bwana Fene sio wa kumsogelea tena

Najua utasema hata kwenye kanga yapo ila jiepushe hii ni tahadhari

Nb/ sitaki vile visingizio eti wachezaj wako wana power huo ni utoto
Wewe jamaa hauishiwi vituko mimi sijawahi kulalamikia wewe wala yeyote humu kuwa wachezaji wangu hawana power kwani nilisemaga kwa watu wa humu jinsi mlivyo viande hata wachezaji wawe na power kama Hulk kwangu hamtoboi labda ya kwenye ligi ndio niliolalamikia coz wale tukiacha power Wana kiwango tofauti na wewe.

Bali mimi nilikulaumu kuna na wa bluu bando upo level za kangaloo na @Frustation halafu unaonewa kwenye ligi ambapo mimi nikiwa nawachezaji kama wako sishikiki .
 
DSL: waongeze kipengele Cha transfer windows ambacho kitakuwa ni kipindi Cha muda maalumu tu na kuwe na option ya Sale and Buy player.

Kwasasa uwezi Kuuza mchezaji zaidi ya kununua tu.
 
Wewe jamaa hauishiwi vituko mimi sijawahi kulalamikia wewe wala yeyote humu kuwa wachezaji wangu hawana power kwani nilisemaga kwa watu wa humu jinsi mlivyo viande hata wachezaji wawe na power kama Hulk kwangu hamtoboi labda ya kwenye ligi ndio niliolalamikia coz wale tukiacha power Wana kiwango tofauti na wewe.

Bali mimi nilikulaumu kuna na wa bluu bando upo level za kangaloo na @Frustation halafu unaonewa kwenye ligi ambapo mimi nikiwa nawachezaji kama wako sishikiki .
Oya adriz upo?

Nakuhitaji game 1 sita kamili friendly
 
Humu wote naona bado mpo level za mandonga mtukaz
Njoo ujaribu kila mahali kuna mfamle mimi ndio mfamle wa humu nitakupa viande wangu wakupime uwezo kabla ya kuja kwa Baba mwenye nyumba.
 
Nakuhitaji game moja ya kirafiki

Kama utakuwa na mda kuanzia saa 4 usiku
 
Nakuhitaji game moja ya kirafiki

Kama utakuwa na mda kuanzia saa 4 usiku
Wewe tu ,halafu mimi sheria yangu mbili wewe kisa kiande unakimbilia moja ili ubahatishe ukimbie .
 
Njoo ujaribu kila mahali kuna mfamle mimi ndio mfamle wa humu nitakupa viande wangu wakupime uwezo kabla ya kuja kwa Baba mwenye nyumba.
Mimi nakubaliana wew kuwa mfalume wa humu je unasemaje nikupeleke group la wasp ukiwafunga na kule
 
Tayari nipo grupu la Singasinga hilo naweka kiporo coz sijawaimarisha viwango wachezaji wangu ila wakifikia nyota au bluu watano tu naitazama na humo kutwaa madaraka maana nimechoka kuonea viande humu.
 
Oya twenzetu tukakiwashe
 
Back
Top Bottom