Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

huku pia
tupo tunakimbizana na golden deer
Upo na Old Version au New Version
Photo_230324112525.jpg
 
Next unapocheza tumia wachezaji normal hata kama ni ronaldo,mercy and alikes ila usiwachome sindano. To feel it natural cheza bila hacked players alafu tushindane vizuri.
Mi situmiag wachezaj wenye Majina Makubwa Bro na kunifunga uwez
 
Dls 2023 lliilohakiwa lenye coin zakutosha android wekeni hapa nipakue
 
Nyie mnaotumia wachezaji overated sio fair kabisa.
Na wewe haukakatazwa mkuu ,Ingekuwa unfair kama amehack lakini uzuri DLS 23 hakuna kuhack habari hizo ziliisha DLS19 ,mimi imechukua miaka 2 lakini wachezaji walikuwa na nyota ni 7 kama sikosei .

Kulalamika ni Unfair wakati wenzako wanatumia resource na time mpaka kufika levo hiyo.
 
Nyie mnaotumia wachezaji overated sio fair kabisa.
Kwa mtu anayejua game kama mm wachezaji sio kikwazo kabisa mimi kipindi kile nacheza na Fene yeye kikosi chake kiko full power mimi hakuna hata mmoja yuko full nilikuwa na mfunga mara nyingi na yeye ananifunga na hats nilipaopata kikosi stable kuliko cha mwanzo haikusaidia nikawa nafungwa mara nyingi tu nikija vibaya.

Singasinga nilimfunga nikiwa na kikosi dhaifu wakati wake wapo maximum ,MrJobless kanifunga sana akiwa na kikosi cha kawaida huku mimi wengi ni full mkoko.

Hoja ya kikosi dhaifu kama kikosi ni kikwazo pambana uwajaze players wako.
 
Back
Top Bottom