adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Why ?Hakuna kitu kama hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why ?Hakuna kitu kama hii
umeongea Point Moja kat ya Kumjua Mchezaj mzur ni uwezo wake wa kutumia Wachezaj wa kawaida Kushinda dhidi ya Giant SquadKwa mtu anayejua game kama mm wachezaji sio kikwazo kabisa mimi kipindi kile nacheza na Fene yeye kikosi chake kiko full power mimi hakuna hata mmoja yuko full nilikuwa na mfunga mara nyingi na yeye ananifunga na hats nilipaopata kikosi stable kuliko cha mwanzo haikusaidia nikawa nafungwa mara nyingi tu nikija vibaya.
Singasinga nilimfunga nikiwa na kikosi dhaifu wakati wake wapo maximum ,MrJobless kanifunga sana akiwa na kikosi cha kawaida huku mimi wengi ni full mkoko.
Hoja ya kikosi dhaifu kama kikosi ni kikwazo pambana uwajaze players wako.
Hakuna hack lkn Unaweza kununua kikosi ukipenda sema iwe Kwa Trusted & Honest Person. Maana kuna kuipgwa Hela na Kikos usipewe.Hivi hili dls 2023 mnalihack vipi wakuu?
Sahau kunifunga maana ss hivi nimeacha kucheza Game sioni Competition ya KwelMimi ndio Master humu hata nifungwe kitambaa machoni na nipewe kikosi dhaifu kabisa sitofungwa na yeyote humu ukimtoa MrJobless na nikirudi ramsi nakuja kumaliza utawale wake halafu niombe moderators kwa heshima heading ya uzi isomeke "MASTER ADRIZ DLS SPECIAL THREAD"
Kabla ya kucheza na mimi kaanza cheza na wanafunzi wangu na viande wa humu Fene na Wakipekee ili nijue wewe ni Kiande wa levo gani kisha nikupe dozi unayostahili bila uonevu.
Umeanza kucheza DLS Mwaka huu nnHakuna kitu kama hii
Hv Bado hamjakubali Mi ni Master Humu ndani? Na km mnasema Kikos ni Changamoto Mi nataka kutoa Wazo.umeongea Point Moja kat ya Kumjua Mchezaj mzur ni uwezo wake wa kutumia Wachezaj wa kawaida Kushinda dhidi ya Giant Squad
Baadae ningekutafuta Kijana sema tatzo lako uwaga unalalamika sn kuhusu VikosNawataka humu
We ni kibonde mkuu kubali Kwanza .! [emoji1787]Hivi Kuna mtu alishawahi kuvuka Tie 6??
Mimi kila nikijitahidi nashindwa,shida ni ukabaji wachezaji Wangu hawakabi ipasavyo ..but Tie 7 wachezaji Wangu wanakuwa active sana kuliko nikicheza Tie 6
Sawa kaka nimekupata,tatizo naona kama wachezaji Wangu wanakuwa wazito sana ninapocheza Tie 6,hawakabiWe ni kibonde mkuu kubali Kwanza .! [emoji1787]
Tie 6 kitu gani Mzee mi nimeshindwa kuvuka tie 4... Sema wakina MrJobless wapo Tie 1....
Sio kwamba wachezaji wako wakifika tie 6 hawakabi wanakaba Sana sema Tu unazidiwa mbinu na wapinzani wako... Mimi tie 6 hua nashinda game zote fasta tu...
Tie 7 ni Kwa vibonde huko nikicheza lazima mpinzani akimbie mwenyewe maana dakika ya 45 unakuta na 4 Hadi 5 [emoji2957]
Sema Niko sehemu ambayo hamna network vizuri Ila nikirudi town ntakutafuta nikupe mbinu...
Ila ushauri wangu nami nilipewa na wajuzi Jifunze kucheza pasi nyingi Kwa kifupi waza kumiliki mpira na kupita pembeni... Game ikianza usiwaze Kwanza kufunga Bali possession...
Tumia mfumo wa 3-4-1-2 tactic weka Defensive....
Ndo nimekuambia kua tatizo ni wewe... Mbona tie 7 wanakaba? Kinachotokea ni kama Yanga acheze na Dortmund kina Aucho na Mwamnyeto wataonekana hawakabi maana watazidiwa mbinu Ila wakicheza na JKT Tanzania wanaonekana wanakaba Hadi kivuli...Sawa kaka nimekupata,tatizo naona kama wachezaji Wangu wanakuwa wazito sana ninapocheza Tie 6,hawakabi
Halafu pia kitu cha muhimu zaidi unapokaba achia "B" tumia direction pekeyake Hadi mchezaji wako akimkatibia mpinzani ndo Kaba na "B" Ila inabidi mikono iwe chapu...Sawa kaka nimekupata,tatizo naona kama wachezaji Wangu wanakuwa wazito sana ninapocheza Tie 6,hawakabi
Ngoja nifuate ushauri wako though nina wachezaji Bora SanaNdo nimekuambia kua tatizo ni wewe... Mbona tie 7 wanakaba? Kinachotokea ni kama Yanga acheze na Dortmund kina Aucho na Mwamnyeto wataonekana hawakabi maana watazidiwa mbinu Ila wakicheza na JKT Tanzania wanaonekana wanakaba Hadi kivuli...
Hapo tumia hiyo tactic niliyokupa 3-4-1-2 weka Defensive utanishukuru baadae
Ebu angalia iko kikosiHalafu pia kitu cha muhimu zaidi unapokaba achia "B" tumia direction pekeyake Hadi mchezaji wako akimkatibia mpinzani ndo Kaba na "B" Ila inabidi mikono iwe chapu...
Cha mwisho zingatia pass... Nauridia zingatia possession wewe Ndo uwe Una mpira muda mwingi lazima ushindwe Tu ....
Sema najua mwanzoni utapigwa .. na usipokua mvumilivu utaurudia tena "tuntura" [emoji23] halafu utapigwa tena
Kikosi unacho kizuri Sana hapo inshu ni uchezaji wakoEbu angalia iko kikosiView attachment 2778630
Nakutaka wew unaetoa mafunzo leo night [emoji23][emoji23]We ni kibonde mkuu kubali Kwanza .! [emoji1787]
Tie 6 kitu gani Mzee mi nimeshindwa kuvuka tie 4... Sema wakina MrJobless wapo Tie 1....
Sio kwamba wachezaji wako wakifika tie 6 hawakabi wanakaba Sana sema Tu unazidiwa mbinu na wapinzani wako... Mimi tie 6 hua nashinda game zote fasta tu...
Tie 7 ni Kwa vibonde huko nikicheza lazima mpinzani akimbie mwenyewe maana dakika ya 45 unakuta na 4 Hadi 5 [emoji2957]
Sema Niko sehemu ambayo hamna network vizuri Ila nikirudi town ntakutafuta nikupe mbinu...
Ila ushauri wangu nami nilipewa na wajuzi Jifunze kucheza pasi nyingi Kwa kifupi waza kumiliki mpira na kupita pembeni... Game ikianza usiwaze Kwanza kufunga Bali possession...
Tumia mfumo wa 3-4-1-2 tactic weka Defensive....
Hahhh njooNakutaka wew unaetoa mafunzo leo night [emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Nasikia adriz alikula kichapo Hadi ukafuta app ya DLS [emoji23][emoji23][emoji1787]The true King, The true Master of the thread
Nina mpango wa kuongea na mmiliki wa jf liwekwe sanamu langu ktk hii thread
Nimewa-rise vijana wengi humu leo ati nao wana sauti wakiongozwa na adriz
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app