Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Kwa mtu anayejua game kama mm wachezaji sio kikwazo kabisa mimi kipindi kile nacheza na Fene yeye kikosi chake kiko full power mimi hakuna hata mmoja yuko full nilikuwa na mfunga mara nyingi na yeye ananifunga na hats nilipaopata kikosi stable kuliko cha mwanzo haikusaidia nikawa nafungwa mara nyingi tu nikija vibaya.

Singasinga nilimfunga nikiwa na kikosi dhaifu wakati wake wapo maximum ,MrJobless kanifunga sana akiwa na kikosi cha kawaida huku mimi wengi ni full mkoko.

Hoja ya kikosi dhaifu kama kikosi ni kikwazo pambana uwajaze players wako.
umeongea Point Moja kat ya Kumjua Mchezaj mzur ni uwezo wake wa kutumia Wachezaj wa kawaida Kushinda dhidi ya Giant Squad
 
Mimi ndio Master humu hata nifungwe kitambaa machoni na nipewe kikosi dhaifu kabisa sitofungwa na yeyote humu ukimtoa MrJobless na nikirudi ramsi nakuja kumaliza utawale wake halafu niombe moderators kwa heshima heading ya uzi isomeke "MASTER ADRIZ DLS SPECIAL THREAD"

Kabla ya kucheza na mimi kaanza cheza na wanafunzi wangu na viande wa humu Fene na Wakipekee ili nijue wewe ni Kiande wa levo gani kisha nikupe dozi unayostahili bila uonevu.
Sahau kunifunga maana ss hivi nimeacha kucheza Game sioni Competition ya Kwel
 
umeongea Point Moja kat ya Kumjua Mchezaj mzur ni uwezo wake wa kutumia Wachezaj wa kawaida Kushinda dhidi ya Giant Squad
Hv Bado hamjakubali Mi ni Master Humu ndani? Na km mnasema Kikos ni Changamoto Mi nataka kutoa Wazo.

Tuje tuweke Sheria ya Kutumia Rares Players (Blue Cards Players) bila kuwa develop Chochote cha Msingi Wawe wa Blue tu arafu mje niwafunge tena
 
Hivi Kuna mtu alishawahi kuvuka Tie 6??
Mimi kila nikijitahidi nashindwa,shida ni ukabaji wachezaji Wangu hawakabi ipasavyo ..but Tie 7 wachezaji Wangu wanakuwa active sana kuliko nikicheza Tie 6
 
We ni kibonde mkuu kubali Kwanza .! [emoji1787]
Tie 6 kitu gani Mzee mi nimeshindwa kuvuka tie 4... Sema wakina MrJobless wapo Tie 1....

Sio kwamba wachezaji wako wakifika tie 6 hawakabi wanakaba Sana sema Tu unazidiwa mbinu na wapinzani wako... Mimi tie 6 hua nashinda game zote fasta tu...

Tie 7 ni Kwa vibonde huko nikicheza lazima mpinzani akimbie mwenyewe maana dakika ya 45 unakuta na 4 Hadi 5 [emoji2957]

Sema Niko sehemu ambayo hamna network vizuri Ila nikirudi town ntakutafuta nikupe mbinu...

Ila ushauri wangu nami nilipewa na wajuzi Jifunze kucheza pasi nyingi Kwa kifupi waza kumiliki mpira na kupita pembeni... Game ikianza usiwaze Kwanza kufunga Bali possession...

Tumia mfumo wa 3-4-1-2 tactic weka Defensive....
 
Sawa kaka nimekupata,tatizo naona kama wachezaji Wangu wanakuwa wazito sana ninapocheza Tie 6,hawakabi
 
Ndo nimekuambia kua tatizo ni wewe... Mbona tie 7 wanakaba? Kinachotokea ni kama Yanga acheze na Dortmund kina Aucho na Mwamnyeto wataonekana hawakabi maana watazidiwa mbinu Ila wakicheza na JKT Tanzania wanaonekana wanakaba Hadi kivuli...

Hapo tumia hiyo tactic niliyokupa 3-4-1-2 weka Defensive utanishukuru baadae
 
Halafu pia kitu cha muhimu zaidi unapokaba achia "B" tumia direction pekeyake Hadi mchezaji wako akimkatibia mpinzani ndo Kaba na "B" Ila inabidi mikono iwe chapu...
Cha mwisho zingatia pass... Nauridia zingatia possession wewe Ndo uwe Una mpira muda mwingi lazima ushindwe Tu ....
Sema najua mwanzoni utapigwa .. na usipokua mvumilivu utaurudia tena "tuntura" [emoji23] halafu utapigwa tena
 
Ngoja nifuate ushauri wako though nina wachezaji Bora Sana
 
Halafu pia kitu cha muhimu zaidi unapokaba achia "B" tumia direction pekeyake Hadi mchezaji wako akimkatibia mpinzani ndo Kaba na "B" Ila inabidi mikono iwe chapu...
Cha mwisho zingatia pass... Nauridia zingatia possession wewe Ndo uwe Una mpira muda mwingi lazima ushindwe Tu ....
Sema najua mwanzoni utapigwa .. na usipokua mvumilivu utaurudia tena "tuntura" [emoji23] halafu utapigwa tena
Ebu angalia iko kikosi
IMG_20231011_122620.jpg
 
We ni kibonde mkuu kubali Kwanza .! [emoji1787]
Tie 6 kitu gani Mzee mi nimeshindwa kuvuka tie 4... Sema wakina MrJobless wapo Tie 1....

Sio kwamba wachezaji wako wakifika tie 6 hawakabi wanakaba Sana sema Tu unazidiwa mbinu na wapinzani wako... Mimi tie 6 hua nashinda game zote fasta tu...

Tie 7 ni Kwa vibonde huko nikicheza lazima mpinzani akimbie mwenyewe maana dakika ya 45 unakuta na 4 Hadi 5 [emoji2957]

Sema Niko sehemu ambayo hamna network vizuri Ila nikirudi town ntakutafuta nikupe mbinu...

Ila ushauri wangu nami nilipewa na wajuzi Jifunze kucheza pasi nyingi Kwa kifupi waza kumiliki mpira na kupita pembeni... Game ikianza usiwaze Kwanza kufunga Bali possession...

Tumia mfumo wa 3-4-1-2 tactic weka Defensive....
Nakutaka wew unaetoa mafunzo leo night [emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
The true King, The true Master of the thread

Nina mpango wa kuongea na mmiliki wa jf liwekwe sanamu langu ktk hii thread
Nimewa-rise vijana wengi humu leo ati nao wana sauti wakiongozwa na adriz

Back
Top Bottom