Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Leta codeKuna anaelijua humu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta codeKuna anaelijua humu?
Hii uongo ,bahati nzuri watu tunatunza risiti rekodi ya kipigo kikubwa zaidi kea Nunge nashikilia mimi kijana acha kuhadaa raia umeshinda goli 2 hapo Messi pekee .Navyosemaga mim ndie master humu huwa kuna kitu nakimaanisha
View attachment 2801363
Hii mbona ninayo tena kubwa kuliko Mr Kiande ? 😂 😂 ninavyosema Master sibahatishi embu kula chuma hiyo chini 👇👇👇Tukumbukeni ya past kidogoView attachment 2801359
[emoji23][emoji23][emoji23]Hii uongo ,bahati nzuri watu tunatunza risiti rekodi ya kipigo kikubwa zaidi kea Nunge nashikilia mimi kijana acha kuhadaa raia umeshinda goli 2 hapo Messi pekee .View attachment 2801389
Screenshots haina mbona magoli ma5 shida iko wapi ?[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh! Unataka kukataa hiki kipondo hujapondwa, tazama dakika hapo imesoma ngapi, ni 90 kabisa ni full time
Pi tazama man of the match movements, Messi kapiga goli 2 na assists 2
Nakusubir urejee niendelee
Hata tukifanya kimchongo kuwa umenifunga hivyo cheki na wewe je ulipona ?[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh! Unataka kukataa hiki kipondo hujapondwa, tazama dakika hapo imesoma ngapi, ni 90 kabisa ni full time
Pi tazama man of the match movements, Messi kapiga goli 2 na assists 2
Nakusubir urejee niendelee
Wew hiyo screenshot yako tunaona ni goli 5 lakini tunamuona De bruyne na Junior tu hayo mengine kashinda nani?Screenshots haina mbona magoli ma5 shida iko wapi ?
Inajulikana kuwa hakuna kipigo kikubwa kwa Nunge zaidi ya hiko nilichokupa hata siku niliyokufunga baada ya kuweka hiyo rekodi na nikasema kuwa kipigo kikubwa zaidi kwa Nunge haujabisha wala kuleta hizo screenshots ..
Nikipata mda nitasearch kama hizo screenshots umewahi kupost humu kisha niangalie response ilikuwaje.
Ili sasa Nakazia onyesha wafungaji wa Magoli mbona yangu inaonyesha shida iko wapi ?
Ngoja nikuumbue sasa ,tatizo magoli mengi mpk DLS wamelosa space ya kuweka ukikuza picha vizuri utaona magoli mengine .Wew hiyo screenshot yako tunaona ni goli 5 lakini tunamuona De bruyne na Junior tu hayo mengine kashinda nani?
Unakuwa kama mgeni wa dls bana Mr kiande wa uzi [emoji23][emoji23]
Tunasubir tuone [emoji23][emoji23] yani umejua kujikomeaNgoja nikuumbue sasa ,tatizo magoli mengi mpk DLS wamelosa space ya kuweka ukikuza picha vizuri utaona magoli mengine .
Haya ngoja niweke sasa niliyoikuza kisha ubaki na aibu zako [emoji23][emoji23][emoji38]
Mbona siku ile haukubisha kama kichapo kikubwa zaidi wakati hizi screenshots zilikuwepo.Tunasubir tuone [emoji23][emoji23] yani umejua kujikomea
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona siku ile haukubisha kama kichapo kikubwa zaidi wakati hizi screenshots zilikuwepo.
We kiande kitu kingine ulichojua kunifurahishaMbona siku ile haukubisha kama kichapo kikubwa zaidi wakati hizi screenshots zilikuwepo.
Mbona haujibu hoja nyepesi hizo 😂😂😂 unaleta janja janja kuleta ushindi batili.[emoji23][emoji23][emoji23]
Tuletee kwanza hiyo picha uliyoikuza kisha tuendelee na mjadala
Screenshot nimepata baada ya kusearch humu ndio maana mimi napenda nikitoa kipigo nipost humu ili iwe ushahidi kwa baadae .We kiande kitu kingine ulichojua kunifurahisha
Tunajua simu umebadili kwahiyo umejitumia na screenshots kabisa katika hiyo simu yako ya sasahiv ya mchongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Sikutaka tu kubishana, najua ungebisha na mtanange ungekuwa sio kitoto na nilikuwa naona tabu kuanza kukutafutia risit zakoMbona siku ile haukubisha kama kichapo kikubwa zaidi wakati hizi screenshots zilikuwepo.
Chukua nyingine hiyo hapoMbona siku ile haukubisha kama kichapo kikubwa zaidi wakati hizi screenshots zilikuwepo.