Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Tukumbukeni ya past kidogo
Screenshot_20230803-232741_1.jpg
 
Hii uongo ,bahati nzuri watu tunatunza risiti rekodi ya kipigo kikubwa zaidi kea Nunge nashikilia mimi kijana acha kuhadaa raia umeshinda goli 2 hapo Messi pekee .View attachment 2801389
[emoji23][emoji23][emoji23]

Duh! Unataka kukataa hiki kipondo hujapondwa, tazama dakika hapo imesoma ngapi, ni 90 kabisa ni full time
Pi tazama man of the match movements, Messi kapiga goli 2 na assists 2

Nakusubir urejee niendelee
 
Screenshots haina mbona magoli ma5 shida iko wapi ?

Inajulikana kuwa hakuna kipigo kikubwa kwa Nunge zaidi ya hiko nilichokupa hata siku niliyokufunga baada ya kuweka hiyo rekodi na nikasema kuwa kipigo kikubwa zaidi kwa Nunge haujabisha wala kuleta hizo screenshots ..

Nikipata mda nitasearch kama hizo screenshots umewahi kupost humu kisha niangalie response ilikuwaje.

Ili sasa Nakazia onyesha wafungaji wa Magoli mbona yangu inaonyesha shida iko wapi ?
 
Hata tukifanya kimchongo kuwa umenifunga hivyo cheki na wewe je ulipona ?
IMG_20231102_145030.jpg
 
Screenshots haina mbona magoli ma5 shida iko wapi ?

Inajulikana kuwa hakuna kipigo kikubwa kwa Nunge zaidi ya hiko nilichokupa hata siku niliyokufunga baada ya kuweka hiyo rekodi na nikasema kuwa kipigo kikubwa zaidi kwa Nunge haujabisha wala kuleta hizo screenshots ..

Nikipata mda nitasearch kama hizo screenshots umewahi kupost humu kisha niangalie response ilikuwaje.

Ili sasa Nakazia onyesha wafungaji wa Magoli mbona yangu inaonyesha shida iko wapi ?
Wew hiyo screenshot yako tunaona ni goli 5 lakini tunamuona De bruyne na Junior tu hayo mengine kashinda nani?

Unakuwa kama mgeni wa dls bana Mr kiande wa uzi [emoji23][emoji23]
 
Ngoja nikuumbue sasa ,tatizo magoli mengi mpk DLS wamelosa space ya kuweka ukikuza picha vizuri utaona magoli mengine .

Haya ngoja niweke sasa niliyoikuza kisha ubaki na aibu zako 😂😂😆
 
Ngoja nikuumbue sasa ,tatizo magoli mengi mpk DLS wamelosa space ya kuweka ukikuza picha vizuri utaona magoli mengine .

Haya ngoja niweke sasa niliyoikuza kisha ubaki na aibu zako [emoji23][emoji23][emoji38]
Tunasubir tuone [emoji23][emoji23] yani umejua kujikomea
 
Mbona siku ile haukubisha kama kichapo kikubwa zaidi wakati hizi screenshots zilikuwepo.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Tuletee kwanza hiyo picha uliyoikuza kisha tuendelee na mjadala
 
We kiande kitu kingine ulichojua kunifurahisha

Tunajua simu umebadili kwahiyo umejitumia na screenshots kabisa katika hiyo simu yako ya sasahiv ya mchongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Mbona haujibu hoja nyepesi hizo 😂😂😂 unaleta janja janja kuleta ushindi batili.
 
We kiande kitu kingine ulichojua kunifurahisha

Tunajua simu umebadili kwahiyo umejitumia na screenshots kabisa katika hiyo simu yako ya sasahiv ya mchongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Screenshot nimepata baada ya kusearch humu ndio maana mimi napenda nikitoa kipigo nipost humu ili iwe ushahidi kwa baadae .

Nilirudi nyuma mpaka page ya 140 nikawa naenda mbele nikakuta screenshots za vipigo ndio nikachukua .
 
Mbona siku ile haukubisha kama kichapo kikubwa zaidi wakati hizi screenshots zilikuwepo.
Sikutaka tu kubishana, najua ungebisha na mtanange ungekuwa sio kitoto na nilikuwa naona tabu kuanza kukutafutia risit zako

Nina vipondo vingi vya aibu dhidi yako nakusitiri tu hapa
 
Back
Top Bottom