Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Next time Kijana Yani huku nilipo net ni usenge tu. Game nachezea H+ Yan ni mikwamo tu
Screenshot_2023-11-17-23-51-14-88_7f24feae7b5e1c4a7a37a4a710799f37.jpg
 
Ndugu yangu adriz Assalam alaykum akhiy

Naomba uuelezee umma tafadhali nini kilikukuta jana
Na uwaelezee watu jinsi gani hamsa zinavyouma , maana uliwacheka sana makolo hatimae nawe yamekufika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Cc; Wakipekee
 
Haya Wanadream nimeweka bango hapo na nyiny mkipita mlione, ila chonde tafadhali ningeomba msaada wenu wa kifedha na kivinginevyo wa ku-run kesi endapo ndugu bwana adriz ataamua kulifikisha hili jambo katika vyombo vya sheria kwa kutumia logo yake pasi na idhini yake

Nawasilisha.......
Screenshot_20231117-231733_1.jpg
 
Nimejitahidi wakati ulikuwa unahemea mipira
[emoji23][emoji23][emoji23]

Tena kuanzia sasa nakutaka ukiwa sehemu utahis network ipo vizuri nikuonyeshe boli linavyochezwa
Yani we bado sema siwez kuangaika kuambia net wkt nimekuonesha nachezea Game H+ ingekuwa 4G we ni mwepes sn
 
Haya Wanadream nimeweka bango hapo na nyiny mkipita mlione, ila chonde tafadhali ningeomba msaada wenu wa kifedha na kivinginevyo wa ku-run kesi endapo ndugu bwana adriz ataamua kulifikisha hili jambo katika vyombo vya sheria kwa kutumia logo yake pasi na idhini yake

Nawasilisha.......View attachment 2817111
Ss huyo sikazoea 5 tano
 
Back
Top Bottom