Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

2.59 ODD WEKA ADA
IMG-20240114-WA0008.jpg
 
Kijana mbona unahadaa Raia hauweki matokeo ya jumla ? umeshindwa siku moja tena ushindi mwembamba mechi 5 umeshindwa 3 na kufungwa mbili hapo si kama umebahatisha Tu ?
We kiande maneno mengi bila ya shaka umejiandaa vyema, leo kama utakuwa na wasaa mishale ya saa 4 tupige game 5 na nitakupasua zote shikilia hilo NITAKUPASUA ZOTE[emoji35][emoji35][emoji35]

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Sema mtandao unanisumbua Sana sijajua tatizo n nn? Hicho ndo kinanifelisha Sana..
Au kuna inshu ya settings?
Maana inagoma sio kama game lililopita hili nacheza Kwa kutumia Tu uzoefu
Ishu ya mtandao ndio sumu kwa game hili na ukikata tu jua umepigwa 3 kwa nunge,pumbavu sana
 
Sema mtandao unanisumbua Sana sijajua tatizo n nn? Hicho ndo kinanifelisha Sana..
Au kuna inshu ya settings?
Maana inagoma sio kama game lililopita hili nacheza Kwa kutumia Tu uzoefu
Mtandao hata mimi unanifelisha sana ukianza kugoma tu unapigwa chuma
 
Back
Top Bottom