Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Umetisha sana

Hapo kwenye tactics ipi nzuri kati ya attacking, balanced na Defensively


Binafsi ni mdau wa balanced sijawai jaribu hizo nyingine


Pia issue nyingine kwenye kona je kuna technique yoyote ya kuwin vichwa kabla ya wapinzani..

Maana wale wanaopiga kona ndefu then anatoa pasi ya kichwaa ni janga ambalo nimeshalishindwa...
Jaribu kutumia tactics zote ukiwa na mpira cheza attacking ukiloose position cheza balanced had defence
 
Nimekuwa Mzembe Leo kama nimekula vitu vya Magahyo , ngoja nikacheki wakorea nusu episode nipoze machungu nilale ila natangaza Leo nilikuwa kama napasha moto mtauona kesho panapo majaaliwa.
Sawa sawaa mkuu
 
Dream sijui wanashusha viwango vya wachezaji ? maana miaka miwili iliyopita na mwaka Jana VVD wangu alikuwa kitasa mwaka huu Mzembe japo Yuko full ndio maana nafungwa kizembe.

Mimi kosi langu lote wazee hawapo kwenye soko na ubora misinu ya karibuni , inabidi nilete vivazi vipya
Kama Ronaldo simuelewi kabisa ila kuna watu wanamtumia fresh tuu
 
Back
Top Bottom