Dreamliner yaanza safari kwa kishindo: Tiketi za Mwanza na KLM tayari zimeisha mpaka tarehe 18 Agosti 2018

Nani alikudanganya hivyo?
Hii inaondoka Dar na inatua Zanzibar bila shida. Tafuta maarifa ndugu.
Sio shabiki ila ndio ukweli.
 
Imeshasemwa wazi kuwa, mipango ni kuifanya Dreamliner iende Guangzhou (China), Bangkok (Thailand) na Mumbai (India). Kuna mambo ya vibali, kujitangaza na logistics kwa ujumla. Ndiyo maana inaanza hapa Bongo Viwanja vya KIA na Mwanza.
Achana na hao jamaa, hata uwagonge na nyundo kichwani hawasikii. Itikadi za ufipa zimewapofua na kuwafanya viziwi kabisaa.
 
Ina urefu gani na hali yake ikoje?
Ina hali nzuri kabisa ndugu. Marekebisho mengi yameshafanyika tangu uamuzi wa Serikali mwaka 2013 kujenga Uwanja huyo kwa standard ya kimataifa kwani walichoanza nacho ni kuongeza urefu wa runway, pamoja na kujenga mitaro ya kuondoa maji uwanjani ambayo haijakamilika yote.
Kumbuka hata ujenzi wa Tower ya kisasa na kubwa kuliko zote Tanzania na Afrika Mashariki inakaribia kukamilika. Karibu Mwanza ndugu.
 

Nafasi zipo bwana Mbona me Jana nimekwenda offisini kwao nikaambiwa nafasi zipo, labda kwa daraja la bussnes class
 
Ahsante kwa ukarimu mkuu.
Hata mimi nina ndoto siku 1 nifike
 
sijakuelewa hata kidogo! shirika la ndege linapata wapi pengine mapato yake kama si mauzo ya tiketi?
 
hata mv DAR ilianza kwa mbwembwee kuuubwa... mwishoee.... ikatafutiwa BIG PARKING.. nahii NJIA YA NDOTO aka dreamliner sijui itapakiwa wapiπŸ˜΅πŸ˜€
 
Tatizo nini wakati fidia iko kwenye bei ya Tiketi hata likigeuzia Ulaya kutua KIA au Mwanza wewe kinakuwasha nini kama cost zote ziko covered kwenye Tiketi mwehu Na msomi koko wewe .
mimi sijamwelewa hata kidogo huyo jamaa !sasa shirika kama mapato kwenye tiket na dege iko full booked mpaka tarehe za sayari ya jupiter hasara iko wapu hapo?
 
Ahsante kwa ukarimu mkuu.
Hata mimi nina ndoto siku 1 nifike
You're warmly welcome mzee. Natamani ukatembelee hadi visiwa vidogo vidogo vya uvuvi ziwani Victoria. Utapata experience bora sana probably kuliko hata ya kutalii Serengeti NP. Kuna ustaarabu mkubwa wa biashara ya bidhaa na ya kimwili kwa namna ambayo haiwezi kuwa replicated sehemu yoyote nchini ya vijijini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…