Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,116
- 4,979
mhn ni kweli pia inawezekana lakini ifike wakati hebu turudi ile miaka ya 80s ndege kupanda kwa watu wakati halikuwa jambo la ajabu tuanze kusave japo kwa miaka miwili tupande ndege mara moja.Mkuu ni kwasbb ya ugeni wa hiyo ndege bombardiers ni watu 76 lkn hakuna wateja mpk flight inaahirishwa itakuwa hiyo wa 200+
ifike wakati tuviangalie vipato vyetu tulazimishe kusafiri vizuri japo kwa mwaka mara moja.
nilikuwa napiga hesabu kwa mtu ambaye anategemea kwenda kilimanjaro mwezi wa disemba akiamua kupunguza mafuta kwa shiling elfu tatu kila siku kutoka shillingi 20,000 ambazo watu wengi wa dar wanaweka kwa mwezi anaweza kuwa amesave shilingi 90,000 na kwa miezi kumi 900,000/- sasa akichanganya na nauli ya likizo anaweza kumudu kupande ndege yeye, mkewe na watoto wawili.
uwezo tunao fikiria tu gharam za kusafiri na gari binafsi moshi natugharimu kiaisi gani toka dar halafu utatjua kuwa sehemu kubwa ni mind set tukifanyiwa marketing vizuri tutapanda tu.