Dreamliner yaanza safari kwa kishindo: Tiketi za Mwanza na KLM tayari zimeisha mpaka tarehe 18 Agosti 2018

TRA watakapokuwa wabakufata ofisini kwako pia usiwakimbie mpe Hongera Rais Magufuli, maana hilo dude linaingiza hasara, na ili kufidia itabid mwananch wa chini Aumie,

Kwahiyo sitarajii kuona Ukileta uzi humu kuwa TRA inakubana na kodi zimeongezeka


Watu wanakufa kwa fasheni, nakumbuka kuna kada mzee wa chama chetu alikwenda Njombe mwezi wa June amevaa Tshirt akijipambanua kuwa ni kijana damu inachemka
 
Mi nasubiria kauli kama hii
"Hili nalo lifungwe tela ili kuwahisha wananchi mikoani" Kangi.
 
Inaanza kwenda China lini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 


Hujawah kufanya Biashara hata ya kuuza mayai wewe endelea kuogelea kwenye dimbwi na ujinga
 
Kuna vitu vya msingi kwa mwananchi wa kawaida zaidi ya hiyo Dreamliner.. Peleka maji vijijini, gawa milioni 50 kila kijiji kama ulivyoahidi, tengeneza ajira mpya ili u boost uchumi kwa mtu mmoja mmoja n.k, sio kung'ang'ana na ndege tu...
 
Tunapenda kuwaza mabaya badala ya kufurahia yetu mazuri, hata km point ni kuweka maji umeme madawa hayo yote hayafanywi kwa mkupuo, mi sio mkereketwa wa chama chochote ila km mtawala kasema atafanya basi nasubiri kifanyike, sio lazima afanye navyotaka mimi maana kila kitu ni cha tanzania sio cha kwake yeye au cha sisiem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…