Dreamliner yaanza safari kwa kishindo: Tiketi za Mwanza na KLM tayari zimeisha mpaka tarehe 18 Agosti 2018

Dreamliner yaanza safari kwa kishindo: Tiketi za Mwanza na KLM tayari zimeisha mpaka tarehe 18 Agosti 2018

TRA watakapokuwa wabakufata ofisini kwako pia usiwakimbie mpe Hongera Rais Magufuli, maana hilo dude linaingiza hasara, na ili kufidia itabid mwananch wa chini Aumie,

Kwahiyo sitarajii kuona Ukileta uzi humu kuwa TRA inakubana na kodi zimeongezeka


Watu wanakufa kwa fasheni, nakumbuka kuna kada mzee wa chama chetu alikwenda Njombe mwezi wa June amevaa Tshirt akijipambanua kuwa ni kijana damu inachemka
 
Mi nasubiria kauli kama hii
"Hili nalo lifungwe tela ili kuwahisha wananchi mikoani" Kangi.
 
Inaanza kwenda China lini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
kwani ATCL wanazo ndege za kubeba watu 3000 kwa siku? hata hizo ndege za watu binafsi bado zinapata wateja na kuna watu wanaziamini zaidi. si kweli watu hawatumii au hawapendi kutumia ndege safari za ndani la bei zipo juu na wakati mwingine bila sababu hivyo wacha ndege ziwe nyingi zinaweza kusaidia watu kutumia ndege zaidi na wakati mwingine bado watanzania hawajajengwa kisaikolojia mara nyingi tunawajenga watu kujikataa kuliko kujikubali kitu ambacho si sahihi sana.


Hujawah kufanya Biashara hata ya kuuza mayai wewe endelea kuogelea kwenye dimbwi na ujinga
 
Kuna vitu vya msingi kwa mwananchi wa kawaida zaidi ya hiyo Dreamliner.. Peleka maji vijijini, gawa milioni 50 kila kijiji kama ulivyoahidi, tengeneza ajira mpya ili u boost uchumi kwa mtu mmoja mmoja n.k, sio kung'ang'ana na ndege tu...
 
watu ukiwaambia kuwa hizi ndege zinajaa hawakubali sijui wanatakaje?

hivi katika tanzania yenye watu zaidi ya millioni 50 hakuna watu wenye uhitaji wa kupanda ndege 3000 kwa siku? hii ni hesabu rahisi tu wakati ndege zote zikijaza za shirika hilo hawafiki watu 1000?

tumekazana kuwa watapata wapi wateja kweli? yaani unazaa mtoto lakini sala zako unaomba mtoto afe haraka do! sijatembea na kuvuka mpaka lakini tujifikirie upya kwa maslahi ya taifa vinginevyo tusema kuwa tunayopinga tuna furahisha ubongo kupunza stress zetu.
Tunapenda kuwaza mabaya badala ya kufurahia yetu mazuri, hata km point ni kuweka maji umeme madawa hayo yote hayafanywi kwa mkupuo, mi sio mkereketwa wa chama chochote ila km mtawala kasema atafanya basi nasubiri kifanyike, sio lazima afanye navyotaka mimi maana kila kitu ni cha tanzania sio cha kwake yeye au cha sisiem
 
Back
Top Bottom