Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Wanageuza bus la kwenda mkoani kupiga route za daladala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
45minutesSafi sana,nakumbuka Mwz-Dar kwa Bombadier ni kama saa 1.45 hivi,kwa hilo mashine itachukua muda gani..?
kifua mbele tukiwa uchiHongera JPM, Hongera Tanzania. Sasa tunaweza kutembea kifua mbele.
1013000/=nauli kwenda mwanza ni bei gani?
113000/=Dar to Mwz bei gani
Nataka nivunje kibubu
113000/=mbona hamtaji hizo nauli tujuee.. nataka nami chokermbaya nione kama ntaweza kulidandia
TRA watakapokuwa wabakufata ofisini kwako pia usiwakimbie mpe Hongera Rais Magufuli, maana hilo dude linaingiza hasara, na ili kufidia itabid mwananch wa chini Aumie,
Kwahiyo sitarajii kuona Ukileta uzi humu kuwa TRA inakubana na kodi zimeongezeka
Ahaaaa bosi, kwani lini tulitembea kifua nyuma? hahahahaHongera JPM, Hongera Tanzania. Sasa tunaweza kutembea kifua mbele.
kwani ATCL wanazo ndege za kubeba watu 3000 kwa siku? hata hizo ndege za watu binafsi bado zinapata wateja na kuna watu wanaziamini zaidi. si kweli watu hawatumii au hawapendi kutumia ndege safari za ndani la bei zipo juu na wakati mwingine bila sababu hivyo wacha ndege ziwe nyingi zinaweza kusaidia watu kutumia ndege zaidi na wakati mwingine bado watanzania hawajajengwa kisaikolojia mara nyingi tunawajenga watu kujikataa kuliko kujikubali kitu ambacho si sahihi sana.
Yani nmecheka mpaka basiSasa ulifikiri nani atanunua?
Pesa ya kubadilisha paa la ufipa inawapiga danadana ya kupandia dreamliner mtatoa wapi?
Watatumbukia ziwaniKinachonifikirisha ni runway ya mwanza na uwezo wa uwanja mwanza kuhandle abiria na ndege yenyewe kwa wakati mmoja.
Hah hah hah hah hahIlani ya CCM unayo? au unapandapanda tu ndege za watu!
Kutakuwa na watu wenye akili km hizi, ilimradi tuonekane watz hatuna akili,Wasije ng'oa viti tu humo au kuchora kutia saini na kuiba Sabuni
Kwani lina urefu wa kilometa ngapiNi kama robo saa ila itabidi likageuzie South Sudan kuutafuta uwanja maana liki-takeoff Dar kabla halijakaa sawa linakuwa limeshapitiliza KIA.
Tunapenda kuwaza mabaya badala ya kufurahia yetu mazuri, hata km point ni kuweka maji umeme madawa hayo yote hayafanywi kwa mkupuo, mi sio mkereketwa wa chama chochote ila km mtawala kasema atafanya basi nasubiri kifanyike, sio lazima afanye navyotaka mimi maana kila kitu ni cha tanzania sio cha kwake yeye au cha sisiemwatu ukiwaambia kuwa hizi ndege zinajaa hawakubali sijui wanatakaje?
hivi katika tanzania yenye watu zaidi ya millioni 50 hakuna watu wenye uhitaji wa kupanda ndege 3000 kwa siku? hii ni hesabu rahisi tu wakati ndege zote zikijaza za shirika hilo hawafiki watu 1000?
tumekazana kuwa watapata wapi wateja kweli? yaani unazaa mtoto lakini sala zako unaomba mtoto afe haraka do! sijatembea na kuvuka mpaka lakini tujifikirie upya kwa maslahi ya taifa vinginevyo tusema kuwa tunayopinga tuna furahisha ubongo kupunza stress zetu.