Dreamliner yaanza safari kwa kishindo: Tiketi za Mwanza na KLM tayari zimeisha mpaka tarehe 18 Agosti 2018

Think positively, shirika la usafirishaji la ndege sio shirika la matangazo au mauzo ya spea, ni la usafirishaji so hizo bombardier na dreamliner zote za atcl zote zitatumika kuendana na wasafiri watakavyopenda
 
Inabidi somo la kujikubali na kujiamini na uzalendo lifundishwe mashuleni, maana kujidharau huku kunatia kinyaa, kwan lazima kila kitu kifeli ili tushangilie, yaan nyumba yetu wenyewe afu tunashangilia tukiskia vitu vinaharibika, this is stupid, mbona wenzetu mbele wanapenda vitu vyao, tuache negativity tunajimaliza wenyewe dah
 
Ndo unazidi kutuonyesha upumbavu wako,bibi yako yupo mtwara ndani huko idiot!!
Unamjua bibi yake, kwani tusipokuwa na ndege ndo bibi yake hali yake itakuwa nzuri, unapenda tubaki kulekule miaka ya uhuru just bcuz unachuki binafsi na manunuzi ya nchi yako, ndege ni yako mwenyewe mtanzania, sijawah kuona mtu anayenunua mali afu akaikashfu na kuiponda kana kwamba sio yake, elimika heshimu vitu vyako vya ndani unayefaidika ni wewe au mwenzio au taifa zima
 
Wewe ndo pumbafuuuuuu wa kwanza,eti taifa linafaidika na ndege,atcl yenyewe inakula hasara,hiyo ndege inacost dola efu 13 kwa saa moja tu angani,ndege hazina faida yeyote pumbafuuu
 
Wewe ndo pumbafuuuuuu wa kwanza,eti taifa linafaidika na ndege,atcl yenyewe inakula hasara,hiyo ndege inacost dola efu 13 kwa saa moja tu angani,ndege hazina faida yeyote pumbafuuu
Km ww ni mhasibu wa atcl ndo una haki ya kusema neno pumbafuuu, ila km sio bas haina effect ni msema hovyo tu mmoja, be cool mkuu, calm down.
 
Wakati atc inakufa kila mtu alikuwa anafuraaahi kuiponda kuidharau kuibeza, sasa inafufuliwa bado tunaiponda tunaibeza tunaidharau, duh kweli democrasia inafatwa
 
Km ww ni mhasibu wa atcl ndo una haki ya kusema neno pumbafuuu, ila km sio bas haina effect ni msema hovyo tu mmoja, be cool mkuu, calm down.
Hahaaaa!!! Yaani wewe ndo tahira pumbafuuuuu wa kwanza, wewe unasema atcl hawapati hasara kwani wewe ni muhasibu wa atcl hata kama muhasibu hata common senses huna?
 
Hiyo miaka 20 hizi ndege mpya zilikuwepo? Usiwe mtumwa wa historia aliyekubuhu kukariri historia the study of past human events .watu tunashughulika Na NOW Na Future Baki Na lihistoria lako

Pombe is a specialist in failures
 
Hahaaaa!!! Yaani wewe ndo tahira pumbafuuuuu wa kwanza, wewe unasema atcl hawapati hasara kwani wewe ni muhasibu wa atcl hata kama muhasibu hata common senses huna?
Calm down mkuu, kwa jazba zako utavunja screen ya smartphone yako, nipe point usiwe km mama mjamzito unamchukia mumeo afu ukijifungua unampenda tena...sinaga hata common sense sijui nliiacha wapi mara ya mwisho nlipovuka darasa la nne, km una point tema km huna endelea kubwatabwata
 
Ni kama robo saa ila itabidi likageuzie South Sudan kuutafuta uwanja maana liki-takeoff Dar kabla halijakaa sawa linakuwa limeshapitiliza KIA.
Ndio Zitto alivyowadanganya? Kwahio KLM ikitoka KIA kuja Dar inaenda kugeuzia Msumbiji? Au SwissAir ikitoka Dar na kusimama pale Nairobi inaenda kugeuzia South Sudan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…