Dressing code IFM balaaa.

Maadili ya taifa hili ni yapi?
 
Fanya hukuwaona tu.....usitaarabu ndiyo unataka uhuru wote (expression) kama hupendi nenda chuo kikuu cha wasabato Arusha wanavaa kwa heshima na utapenda
 
I am talking about Uavaaji nusu uchi aint a good moral to society,au wewe kwenu ni poa kabisa
Hilo ndio tatizo letu watanzania..kuanzia viongozi mpaka raia.
Wepesi wa kuongea.."tabia hii ni kinyume na maadili na utamaduni wa mtanzania."
Muulize huo utamaduni na maadili ya mtanzania ni upi..they will never come up with a clear answer.
Simply because we dont know who we are..tupo tupo tu.
 
Fanya hukuwaona tu.....usitaarabu ndiyo unataka uhuru wote (expression) kama hupendi nenda chuo kikuu cha wasabato Arusha wanavaa kwa heshima na utapenda

I was only adressing this,it doesn't mean i'm not cappable of survaving here..in the name of Almighty i will.
 
I have told you uvaaji nusu uchi that is clear answer may be if ua here for challenging me..but my self i was straight
 
I have told you uvaaji nusu uchi that is clear answer may be if ua here for challenging me..but my self i was straight
Hayo ni maoni yako binafsi sio kinyume na maadili ya watanzania..mm napenda mwanamke akivaa nusu uchi, sababu hata dada zangu wanvaa hivo na ni watanzania. This is a free country kila mtu ana uhuru wa kuvaa anavotaka. We dont have a dressing code in Tanzania.
 
That's fine umesomeka mkuu.
 
Jamani nyie wanafunzi; ni dress code na sio dressing code. Huwa mnatoa wapi haya maneno?
 
Kaka hapo mawazo yako ndo yatakuwa na matatizo...hiki ni taifa huru...mbona wamasai na wamangati wanaishi poa tu na uchiuchi?...kwa mtazamo wa kisayansi angalia viumbe wengine huwa wanajinsi ya kutengeneza mazingira ili jinsia tofauti ivutike...kwa milio au matendo fulani...Mungu hakukosea kuweka hivyo...tafsiri ya binadamu ndo tatizo...ondokana na mawazo mgando na funguka ndugu yangu
 
una hoja ya msingi sana. Umalaya vyuoni umekithiri asif watoto hawakutoka kwenye wazazi wa kiafrika, eti ni utandawazi
 
ndio maana maana tumaini university makumira campus wamepiga marufuku uvaaji wa hilo vazi
 
I was only adressing this,it doesn't mean i'm not cappable of survaving here..in the name of Almighty i will.

Hivi unatambua kwamba hiyo lugha ya kiingereza,unayopenda kuitumia hauimudu na inakushusha sana.Hacha mbwembwe bwana mdogo,kiswahili pia ufikisha ujumbe vizuri.
 
I have told you uvaaji nusu uchi that is clear answer may be if ua here for challenging me..but my self i was straight

Jifunze tena vizuri hiyo lugha,jipe muda usiwe na haraka ya kutaka kuonekana unaimudu kumbe sivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…