Maadili ya taifa hili ni yapi?Kuna haja ya Uongozi wa chuo kukemea vikali uvaaji mbovu wa mavazi,haswa hii jinsia ya kike mavazi wanayovaa ni balaa nusu uchi bila aibu wanaingia leacture theatres na wanafanya presentation kama kawa..hali hii si njema kabisa kwa maadili ya Taifa hili.
Naomba Mungu nimalize salama Programme yangu because vishawishi ni vingi kwa kweli!