Dressing code IFM balaaa.

Dressing code IFM balaaa.

Zeddicus

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
627
Reaction score
535
Kuna haja ya Uongozi wa chuo kukemea vikali uvaaji mbovu wa mavazi,haswa hii jinsia ya kike mavazi wanayovaa ni balaa nusu uchi bila aibu wanaingia leacture theatres na wanafanya presentation kama kawa..hali hii si njema kabisa kwa maadili ya Taifa hili.
Naomba Mungu nimalize salama Programme yangu because vishawishi ni vingi kwa kweli!
 
Kwisha Habari yako so subiri Kugeugwa Mbuzi tu
 
Unadhani unaweza shindana na utandawazi mkuu? Fanya mambo yako, piga shule, maliza uondoke. Hata developed countries wamepitia stage hiyo.
 
Ukitaka kuyashinda hayo,ukitoka lecture pitia library,ukichoka nenda room kalale. Usikae Screen Saver wala Airport. Ikifika Ijumaa km unaishi Dar nenda kwenu urudi juma2 usiku.
 
Ukitaka kuyashinda hayo,ukitoka lecture pitia library,ukichoka nenda room kalale. Usikae Screen Saver wala Airport. Ikifika Ijumaa km unaishi Dar nenda kwenu urudi juma2 usiku.

Ushauri mzuri huu,nitautumia ipasavyo asante mkuu.
 
Unadhani unaweza shindana na utandawazi mkuu? Fanya mambo yako, piga shule, maliza uondoke. Hata developed countries wamepitia stage hiyo.

Sure mkuu Globalization force is almost at excited level
 
mtu akivaa vizuri au vibaya inakusaidia nini wewe
fact:refer to barriers of communication

aim:ukitumia dakika 5 kuangalia dressing code ya mtu unapoteza consetration kwa 15 au 20minutes believe me

conc:do what you got to do thats your job nat stairing
 
Control tu hisia zako kivyako! Au zoea mambo ya kawaida sana hayo, hayapaswi kukutesa
 
Mkuu usijali hayo ni fahari ya macho. chuo sio kusoma tu, kama utakimbia vishawishi ukiajiriwa itakuwaje? Face it!
 
Mkuu think this way, hayo mapaja wanayoyaacha wazi yanatofauti gani na mkono, kama vipi tafuta demu, is part of learning
 
Ukiwaambia wenyewe watoto wa mjini watakwambia FANYA YAKO
 
Ukiwaambia wenyewe watoto wa mjini watakwambia FANYA YAKO na bbm zao wanakuwekea ki smile cha mtu anakuzuia wanakwambia TALK TO THE HAND
Dah mjini kweli mipango
 
Ukiwaambia wenyewe watoto wa mjini watakwambia FANYA YAKO na bbm zao wanakuwekea ki smile cha mtu anakuzuia wanakwambia TALK TO THE HAND
Dah mjini kweli mipango

na sio Magorofa
 
Mkuu think this way, hayo mapaja wanayoyaacha wazi yanatofauti gani na mkono, kama vipi tafuta demu, is part of learning

So having demu nowdays is the part of learning..how is dat possible mkuu.
 
mtu akivaa vizuri au vibaya inakusaidia nini wewe
fact:refer to barriers of communication

aim:ukitumia dakika 5 kuangalia dressing code ya mtu unapoteza consetration kwa 15 au 20minutes believe me

conc:do what you got to do thats your job nat stairing

That number three was supposed to be a FACT and not The AIM..but nimeipenda hii.
 
Take it easy, wewe cha kufanya jenga mentality kuwa wote wanaovaa nusu uchi wana ngoma then hutapata shida nao tena.
 
Back
Top Bottom