Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Jeshi la Marekani limethibitisha ndege yao isiyo na ruban (Drone) imeangushwa kwa kugongwa na ndege vita ya Urusi katika Bahari Nyeusi ambako Jeshi la Marekan wanasema drone yao ilikuwa katika eneo la kimataifa!.
Ata hivo mjadala umeibuka kuwa drone ilienda kutafuta nini Bahari Nyeusi ambako bahari hiyo imeunganishwa na za Ukraine, Urusi, Uturuki
Ata hivo mjadala umeibuka kuwa drone ilienda kutafuta nini Bahari Nyeusi ambako bahari hiyo imeunganishwa na za Ukraine, Urusi, Uturuki