Zaidi ya dakika 40 kweli?, Mapenzi yasidi yanaharibu.drone ya USAilimiminiwa oil chafu na kubagazwa kwa zaidi ya dk 40 (fuatilia taarifa kwa kina)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zaidi ya dakika 40 kweli?, Mapenzi yasidi yanaharibu.drone ya USAilimiminiwa oil chafu na kubagazwa kwa zaidi ya dk 40 (fuatilia taarifa kwa kina)
Hebu fatilia hiyo drone inaweza kubeba tan ngapi za mabomu ndio useme kadrone kadogo tuu,sio unakurupuka kuongea kabla ya factka drone kalivyo kadogo kanashambuliwa kwa ndege ya vita
Sasa silaha ni jukumu la nani kuwa nazo? 🤣 Yani Ukraine wapigane kwa kodi za NATO halafu muwasifieAngalau kuna mmoja anakiri uwezo wa Ukraine kwenye kumkabili Urusi na kumdhibiti asitimize lengo lake.
Sasa labda niulize kaswali kadogo tuu, hivi ulitaka Ukraine apigane na Russia bila ya silaha? Upo serious kweli?
Hapewi bure zile mkuu, atazilipia baadaye, sasa hivi ni kama mkopo so ni za kwake. So akizipata ndiyo anaenda kuzitumia kutwangana na Russia😀Sasa silaha ni jukumu la nani kuwa nazo? 🤣 Yani Ukraine wapigane kwa kodi za NATO halafu muwasifie
Kama huna silaha si una retreat!
Bado sio kipimo cha uhalisia. Wao ugomvi wanauweza wasiombe silaha. Wakomae kupiganaHapewi bure zile mkuu, atazilipia baadaye, sasa hivi ni kama mkopo so ni za kwake. So akizipata ndiyo anaenda kuzitumia kutwangana na Russia😀
mjadala wa hii ulishaisha bwashee, mi siwezagi ligiHebu fatilia hiyo drone inaweza kubeba tan ngapi za mabomu ndio useme kadrone kadogo tuu,sio unakurupuka kuongea kabla ya fact
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kiwanja cha ndege cha kijeshi miez 2 iliyopita Moscow kiliripuliwa usijifanye una pamba masikioni, urusi si salama hawana uthibiti wowote wako visible sana ngoja waingie katikati zaidi ushuhudie vumbi huko kremlinKwa taarifa Yako TU ni kwamba Huyo unaemwita mnyama hua anapigwa matukio ya kibabe na dubu na hua anaishia kupiga kimya TU.
Ukitaka tufumguke tunaweza kufunguka kwa faida Yako.