Drone ya Marekani yaaangushwa na ndege vita ya Urusi huko Bahari Nyeusi

Drone ya Marekani yaaangushwa na ndege vita ya Urusi huko Bahari Nyeusi

Mimi ligi zangu zipo kwenye soka na michezo kwa ujumla ikiwemo betting. Ikitokea nina imani na performance fulani, naweka mzigo, yaani nabet hela kabisa ili either nifaidike na imani yangu au nipigwe, na mojawapo huwa linatokea
Sasa wakija watu wakianza kukwambia betting ni mbaya utawakubalia.Ujinga ni mzuri kwa wajinga.
 
Chepe zimeshusha drone
20230315_150615.jpg
 
Kwa taarifa Yako TU ni kwamba Huyo unaemwita mnyama hua anapigwa matukio ya kibabe na dubu na hua anaishia kupiga kimya TU.
Ukitaka tufumguke tunaweza kufunguka kwa faida Yako.
Mfano mzuri ni pale "old man" aliposema watalinda ardhi ya nchi mwanachama wa NATO kwa nguvu zote.
Halafu Russia akapiga kombora Poland.

Poland na Ukraine wanasema Russia kapiga kombora, Marekani ndio wakwanza kukanusha. Russia kakaa palee anawachora tuu.
Sidhani kama hapa duniani kuna nchi inaiogopa Russia kama Marekani
 
UTUMBO MTUPU HUYO URUSI AMBAE ANAHANGAIKA NA UKRAINE MWAKA SASA? PAMOJA NA KUKODI MAJESHI NORTH KOREA, VENEZUELA NA CHINICHINI CHINA BADO ANAPELEKEWA MOTO.
URUSI HAKUNA KAZI MAGWARIDE YA KIZUSHI ILA ANASHINDWA KUITEK UKRAINE MWAKA SASA.
KUJITOA VITANI ANAONA AIBU, KUSHINDA HAWEZI.. NGOMA NGUMU

NYIE NDO WALE WAFUGA NDEVU KAUAWA GENERAL MKUBWA WAKARUSHA VIKOMBORA UCHWARA WAKASEMA WAMEUA KAMBI NZIMA🤣🤣🤣
Waambie NATO wache kupeleka silaha uone kama huu mwaka utaisha bila Ukraine yote kupepea bendera za Urusi!
 
Marekani alikaa miaka mingapi kwa watelebani na akaambulia nini?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
MTU KAKA KWA WAFUGA NDEVU MIAKA 21,ANACHOTA MAFUTA NA KUFANYA ATAKACHO IMAGINE MTU ANAKUJA KWAKO ANAUTOA UTAWALA WAKO ANAKUTAWALA MIAKA 21,ANAONDOKA MWENYEWE TENA BILA VITA WEAE UNARUDI UNASHANGALIA ETI UMEMSHINDA ADUI, UTAONEKANA CHIZI🤣
 
Mmarekani alichezea kwa vietnam, akaja akachezea kwa talibán,

Nina uhakika marekani hawezi kupigana haya na uganda bila kutegemea mawifi zake nato
LETE TAKWIMU YA VITA YA VIETMAN HAPA, ACHA KUWA KAMA WASIOJIELEWA WA VIJIWE VYA KAHAWA. VITA ILE VIEFNAM WALIPOTEZA WATU 2M NA US HAWAKUZIDI HATA WATU 60k.
NANI KAPIGWA HAPO?
Kushindwa kwa mmarekani ni kushhindwa kuweka ubepari kule vietnam ila kivita vietnam kapigwa hasa. Wavietnam milioni mbili waliuliwa pale
 
Mbona umeandika kinyonge ivo mkuu? Una tatizo?
 
Mpaka maustadhi mnabuni taarifa za kujiliwaza, kichapo kiko pale pale bado....takbir
Hii taarifa ya ukweli au haufatilii vyombo vya habari maana mpaka BBC wameripoti na nimesikitika sana ..
 
Kumbuka mimi Pro Us mwenzake mbona unanitenga utaki niwe upande huo ?

Hehehe Kuwa pro-US kwenye hiyo dini yenu itabidi utumie nguvu nyingi sana kujikana...
 
Mfano mzuri ni pale "old man" aliposema watalinda ardhi ya nchi mwanachama wa NATO kwa nguvu zote.
Halafu Russia akapiga kombora Poland.

Poland na Ukraine wanasema Russia kapiga kombora, Marekani ndio wakwanza kukanusha. Russia kakaa palee anawachora tuu.
Sidhani kama hapa duniani kuna nchi inaiogopa Russia kama Marekani
Well said Mkuu. Hii tunaita a vivid example!
 
Jeshi la Marekani limethibitisha ndege yao isiyo na ruban (Drone) imeangushwa kwa kugongwa na ndege vita ya Urusi katika Bahari Nyeusi ambako Jeshi la Marekan wanasema drone yao ilikuwa katika eneo la kimataifa!.

Ata hivo mjadala umeibuka kuwa drone ilienda kutafuta nini Bahari Nyeusi ambako bahari hiyo imeunganishwa na za Ukraine, Urusi, Uturuki

View attachment 2551440View attachment 2551445

Wapi waliposema wameiangusha?
 
Back
Top Bottom