Drone ya Marekani yaaangushwa na ndege vita ya Urusi huko Bahari Nyeusi

Drone ya Marekani yaaangushwa na ndege vita ya Urusi huko Bahari Nyeusi

Kilichofanyika wanajeshi wa Urusi waliimwagia mafuta kama mzaha alafu wakagusanisha mbawa ya su-27 kwenye injini ya ndege ya Marekani.

Baada ya tukio hilo, zile pangaboy za ndege ya Marekani zikavunjika mithili ya mabua.

Warusi hawakutaka kuipiga kombora ili waibebe nzimanzima waipeleke Iran kama ilivyo kawaida yao 😂

Yani Urusi imejitosheleza kiasi kwamba ikikamata visilaha vya NATO inavipeleka Iran
WANAPELEKA KWA MUKANDARASI.
 
Kichaa anapoupamba ukichaa wa kichaa mwenzie.
Dunia ina vichaa wengi sana, Russia wanaigopa USA kwa silaha zao huku kijana mmoja kutoka Tanzania ambae hajawahi kufanya kazi kwenye Jeshi la USA akituthibitia ubora wa vifaa vya kijeshi walizonazo USA na RUSSIA.

Serikali isiochukua hatua ya kuwapima akili wananchi wake tatizo litazidi kuwa kubwa sana.
Japo inawezekana na mimi ni kichaa pia make sijapimwa pia akil
 
UTUMBO MTUPU HUYO URUSI AMBAE ANAHANGAIKA NA UKRAINE MWAKA SASA? PAMOJA NA KUKODI MAJESHI NORTH KOREA, VENEZUELA NA CHINICHINI CHINA BADO ANAPELEKEWA MOTO.
URUSI HAKUNA KAZI MAGWARIDE YA KIZUSHI ILA ANASHINDWA KUITEK UKRAINE MWAKA SASA.
KUJITOA VITANI ANAONA AIBU, KUSHINDA HAWEZI.. NGOMA NGUMU

NYIE NDO WALE WAFUGA NDEVU KAUAWA GENERAL MKUBWA WAKARUSHA VIKOMBORA UCHWARA WAKASEMA WAMEUA KAMBI NZIMA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni mfuasi tuu wa "upinde" ndio anaweza kuamini upuuzi huo.
Hao wafuga ndevu wa Somalia walimkalisha huyo shoga mkuu hadiakakimbia.
 
Putin anatambia tule tukombola twake twa masafa marefu.

Ukraine tu imemshinda mwaka sasa anasota vita haiishi..anaanza kuchokoza wababe wa vita.
 
Ngoja wameza taka taka wa habari kama hizi waamke.

Ndege Urusi IMEGONGA Drone ya US ila habari ilivyoletwa ni kana kwamba kulikuwa na makabilino kati ya ndege Urusi na Drone.

Zombies on the beat
Ishu sio makabiliano baina ya ndege na droni.
Ishu ni kwamba Warusi hawakutaka kuiruhusu iingie kama ilivyongia eneo hilo na kuweza kutoka.
Kwa maana ingetoka,ingetoka na habari nyingi muhimu.

Kama ingeweza kutoka nadhani Dunia nzima Ingekua ndio habari.
 
Kilichofanyika wanajeshi wa Urusi waliimwagia mafuta kama mzaha alafu wakagusanisha mbawa ya su-27 kwenye injini ya ndege ya Marekani.

Baada ya tukio hilo, zile pangaboy za ndege ya Marekani zikavunjika mithili ya mabua.

Warusi hawakutaka kuipiga kombora ili waibebe nzimanzima waipeleke Iran kama ilivyo kawaida yao 😂

Yani Urusi imejitosheleza kiasi kwamba ikikamata visilaha vya NATO inavipeleka Iran
Ha ha haa sentensi ya mwisho imenichekesha mazee.
 
Lazima na wewe una ligi unazobishaniaga, sasa sijui huwa unagain nini?
Mimi ligi zangu zipo kwenye soka na michezo kwa ujumla ikiwemo betting. Ikitokea nina imani na performance fulani, naweka mzigo, yaani nabet hela kabisa ili either nifaidike na imani yangu au nipigwe, na mojawapo huwa linatokea
 
WARUSI WA BUZI BANA SASA KAMA MAREKANI ANA UWEZO WA KUPELEKA DRONES HADI KULE MBONA HAO WABAGUZI WARUSI HAWAPELEKI HATA PARACHUTE PALE JIRANI NA HAWAII?? HAWAII MBALI WAPELEKE PALE ALASKA JIMBO LAO WALILOMUUZIA MMAREKANI🤣🤣🤣

HALAFU COLLISION YA VIFAA VYA ANGA NI JAMBO LA KAWAIDA, WALIWAHI KUGONGANA NDEGE YA MAREKANI NA UCHINA TENA ZA KIVITA.KUNA UTOFAUTI KATI YA KUSHAMBULIA DRONE NA KUIGONGA, KWANINI HAWAKUIANGUSHA KWA BOMU? 🤣

MOTO UKO PALE PALE URUSI HII VITA NI ANGAKO LAKE MAZIMA,MTAKE MSITAKE
Kwanini usisime ndio ibuko lake🤔
 
Ni kitu cha kawaida hicho kinakuzwa kwa vile hamna jambo kubwa la ziada. Mid air collision ni ajari unayoweza kwepa kuwajibika ukitoa visingizio, hiyo drone haijadunguliwa. Na drones hazina manouvres kama manned fighter jets kwahiyo Su-27 ziliweza kuzunguka na marubani wakaamua cha kufanya kuliko operator wa hiyo Reaper angeweza fanya uko aliko Marekani au kwingineko labda Ujerumani ambapo kuna command kubwa ya drones za Marekani.

Drone sio silaha ya kufanya nchi ziingie vitani na ndio maana mataifa yalizitengeneza. Hakuna rubani kafa hapo ingekuwa ni U-2 ya Mmarekani ndio ilikuwa inafanya reconn kwenye international waters kisha ikaangushwa tungeongea lugha nyingine. Hata Urusi ilinywea Uturuki ilipodondosha ndege yake na kuua rubani kwa sababu ilikiuka na kuingia kwenye anga la Uturuki kimazoea.

Russia haijasema direct imedondosha ile ndege. Its unprofessional marubani kuendesha ndege karibu karibu na sio mara ya kwanza marubani wa Urusi kufanya hivi. Ila mid air collisions sio jambo geni kwenye ndege.
Lakini kama wanataka ligi, Marekani inazo ndege nyingi tu wala sio kupambanisha surveillance drone dhidi ya fighter jet.

When a US Spy Plane Was Shot Down Over the USSR​

In 1960, one of the most notorious chapters in the Cold War began after American U-2 pilot Francis Gary Powers was shot down and captured during a spying mission over the Soviet Union.

1 May 1960, a United States U-2 spy plane was shot down by the Soviet Air Defence Forces while conducting photographic aerial reconnaissance deep inside Soviet territory. The single-seat aircraft, flown by American pilot Francis Gary Powers, had taken off from Peshawar, Pakistan, and crashed near Sverdlovsk (present-day Yekaterinburg), after being hit by an S-75 Dvina (SA-2 Guideline) surface-to-air missile. Powers parachuted to the ground safely and was captured.



In Cuban missile crisis

On October 27, 1962, U-2 pilot Rudolf Anderson Jr. was shot down during the Cuban Missile Crisis.
Shortly after Anderson entered Cuban air space, his unarmed, high-altitude U-2 spy plane appeared as a blip on Soviet radar. As the Soviet military tracked the intruding aircraft,
 
Back
Top Bottom