Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kitu cha kawaida hicho kinakuzwa kwa vile hamna jambo kubwa la ziada. Mid air collision ni ajari unayoweza kwepa kuwajibika ukitoa visingizio, hiyo drone haijadunguliwa. Na drones hazina manouvres kama manned fighter jets kwahiyo Su-27 ziliweza kuzunguka na marubani wakaamua cha kufanya kuliko operator wa hiyo Reaper angeweza fanya uko aliko Marekani au kwingineko labda Ujerumani ambapo kuna command kubwa ya drones za Marekani.Dah umeona mbali kweli mkuu hivi wanakuaga wapi hawa akina
T armata
Proved
Kipanya
Na wengineo habari zinakua haziwafikii nini?
Naeka kituo hapaAibu sana.
Warusi waliitaka hiyo droni ikiwa hai au mfu ndio maana wakaidondosha ndani ya Black sea.
Ningekuwa hodari wa kuchora vikatuni ningechora zile patriot zilizokuwa zikiingalia kinza hyapersonic ikielekea kwenye lengo kule Kyiv bila kuifanya chochote,Na hii droni iliyomwagiwa mafuta ikaingia woga na kudodondok Najua ingependeza sana
Unafahamu ukubwa wa hiyo drone? Na inaweza kubeba makombora mangapi?ka drone kalivyo kadogo kanashambuliwa kwa ndege ya vita
We mmarekani Drone imemwagiwa mafuta, sio collisionNi kitu cha kawaida hicho kinakuzwa kwa vile hamna jambo kubwa la ziada. Mid air collision ni ajari unayoweza kwepa kuwajibika ukitoa visingizio, hiyo drone haijadunguliwa. Na drones hazina manouvres kama manned fighter jets kwahiyo Su-27 ziliweza kuzunguka na marubani wakaamua cha kufanya kuliko operator wa hiyo Reaper angeweza fanya uko aliko Marekani au kwingineko labda Ujerumani ambapo kuna command kubwa ya drones za Marekani.
Drone sio silaha ya kufanya nchi ziingie vitani na ndio maana mataifa yalizitengeneza. Hakuna rubani kafa hapo ingekuwa ni U-2 ya Mmarekani ndio ilikuwa inafanya reconn kwenye international waters kisha ikaangushwa tungeongea lugha nyingine. Hata Urusi ilinywea Uturuki ilipodondosha ndege yake na kuua rubani kwa sababu ilikiuka na kuingia kwenye anga la Uturuki kimazoea.
Russia haijasema direct imedondosha ile ndege. Its unprofessional marubani kuendesha ndege karibu karibu na sio mara ya kwanza marubani wa Urusi kufanya hivi. Ila mid air collisions sio jambo geni kwenye ndege.
Lakini kama wanataka ligi, Marekani inazo ndege nyingi tu wala sio kupambanisha surveillance drone dhidi ya fighter jet.
KWANI KUNA ZUIA LA NDEGE KURUKA ALASKA? INATEGEMEA NDEGE ZA AINA GANI, WEKA HAPA PICHA AU VIDEO YA NDEGE ZA KIJESHI ZA URUSI IKIRUKA ALASKA MID TOWNNdege za Urussi zinazokatishaga Alaska huwa zinafanya nini? Au Alaska sio US??
Wanasema hawajamgusa lakini wanamuuliza kafata nini huko kwaoKwa hiyo Kremlin wanajitetea kwa kumgusa kidume bahati mbaya? 😆
UTUMBO MTUPU HUYO URUSI AMBAE ANAHANGAIKA NA UKRAINE MWAKA SASA? PAMOJA NA KUKODI MAJESHI NORTH KOREA, VENEZUELA NA CHINICHINI CHINA BADO ANAPELEKEWA MOTO.Watume drones za nini? Marekani yupo uchi mbele ya mmrusi. Kuku wake manati ya nini!?
Mashoga tuu ndio wataamini ile ni ajali tuu. Ajali ya kukojolewa mafuta..!
Hiyo ni mmarekani tuu anaweza fanyiwa.
Mrusi hakuhangaika kutumia kombora ili amdhalilishe na kuonesha udhaifu wa super power
Marekani alikaa miaka mingapi kwa watelebani na akaambulia nini?UTUMBO MTUPU HUYO URUSI AMBAE ANAHANGAIKA NA UKRAINE MWAKA SASA? PAMOJA NA KUKODI MAJESHI NORTH KOREA, VENEZUELA NA CHINICHINI CHINA BADO ANAPELEKEWA MOTO.
URUSI HAKUNA KAZI MAGWARIDE YA KIZUSHI ILA ANASHINDWA KUITEK UKRAINE MWAKA SASA.
KUJITOA VITANI ANAONA AIBU, KUSHINDA HAWEZI.. NGOMA NGUMU
NYIE NDO WALE WAFUGA NDEVU KAUAWA GENERAL MKUBWA WAKARUSHA VIKOMBORA UCHWARA WAKASEMA WAMEUA KAMBI NZIMA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inamaana mkuu hata kuimwagia mafuta ni ajali tu ya kawaida?Ni kitu cha kawaida hicho kinakuzwa kwa vile hamna jambo kubwa la ziada. Mid air collision ni ajari unayoweza kwepa kuwajibika ukitoa visingizio, hiyo drone haijadunguliwa. Na drones hazina manouvres kama manned fighter jets kwahiyo Su-27 ziliweza kuzunguka na marubani wakaamua cha kufanya kuliko operator wa hiyo Reaper angeweza fanya uko aliko Marekani au kwingineko labda Ujerumani ambapo kuna command kubwa ya drones za Marekani.
Drone sio silaha ya kufanya nchi ziingie vitani na ndio maana mataifa yalizitengeneza. Hakuna rubani kafa hapo ingekuwa ni U-2 ya Mmarekani ndio ilikuwa inafanya reconn kwenye international waters kisha ikaangushwa tungeongea lugha nyingine. Hata Urusi ilinywea Uturuki ilipodondosha ndege yake na kuua rubani kwa sababu ilikiuka na kuingia kwenye anga la Uturuki kimazoea.
Russia haijasema direct imedondosha ile ndege. Its unprofessional marubani kuendesha ndege karibu karibu na sio mara ya kwanza marubani wa Urusi kufanya hivi. Ila mid air collisions sio jambo geni kwenye ndege.
Lakini kama wanataka ligi, Marekani inazo ndege nyingi tu wala sio kupambanisha surveillance drone dhidi ya fighter jet.
Mmarekani alichezea kwa vietnam, akaja akachezea kwa talibán,UTUMBO MTUPU HUYO URUSI AMBAE ANAHANGAIKA NA UKRAINE MWAKA SASA? PAMOJA NA KUKODI MAJESHI NORTH KOREA, VENEZUELA NA CHINICHINI CHINA BADO ANAPELEKEWA MOTO.
URUSI HAKUNA KAZI MAGWARIDE YA KIZUSHI ILA ANASHINDWA KUITEK UKRAINE MWAKA SASA.
KUJITOA VITANI ANAONA AIBU, KUSHINDA HAWEZI.. NGOMA NGUMU
NYIE NDO WALE WAFUGA NDEVU KAUAWA GENERAL MKUBWA WAKARUSHA VIKOMBORA UCHWARA WAKASEMA WAMEUA KAMBI NZIMA🤣🤣🤣
Kuandika Kwa herufi kubwa ni dalili ya kutojiaminiUTUMBO MTUPU HUYO URUSI AMBAE ANAHANGAIKA NA UKRAINE MWAKA SASA? PAMOJA NA KUKODI MAJESHI NORTH KOREA, VENEZUELA NA CHINICHINI CHINA BADO ANAPELEKEWA MOTO.
URUSI HAKUNA KAZI MAGWARIDE YA KIZUSHI ILA ANASHINDWA KUITEK UKRAINE MWAKA SASA.
KUJITOA VITANI ANAONA AIBU, KUSHINDA HAWEZI.. NGOMA NGUMU
NYIE NDO WALE WAFUGA NDEVU KAUAWA GENERAL MKUBWA WAKARUSHA VIKOMBORA UCHWARA WAKASEMA WAMEUA KAMBI NZIMA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lazima na wewe una ligi unazobishaniaga, sasa sijui huwa unagain nini?Ni kweli, mambo ya kivita siyajui. Hata huu uzi wa Russia na Ukraine nimejichanganya tu nikajikuta nimecomment, ila wala si mpenzi au mshabiki wa Russia au Marekani kama mlivyo.
Kwa upande mwingine hata mimi huwa nawashangaa mnachobishaniaga, ingawa huwa naepuka kuwaita wajinga kwa kuhofia kwamba huenda kweli kuna mambo mnagain kutokana na ligi hii
Weee watahama humu.Wapeleke Iran akaifanyie reverse engineering