Drone ya Marekani yaaangushwa na ndege vita ya Urusi huko Bahari Nyeusi

Drone ya Marekani yaaangushwa na ndege vita ya Urusi huko Bahari Nyeusi

Toka nimeanza kuona hii nyuzi ya drone ya marekani kushushwa na kupelekwa Iran kwa reverse engineering sijaona pro NATO wakikomenti mahali popote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah umeona mbali kweli mkuu hivi wanakuaga wapi hawa akina

T armata
Proved
Kipanya
Na wengineo habari zinakua haziwafikii nini?
 
Tupeane maarifa, lilikuwa na ukubwa gani hilo baloon. Nisije nikasema ka baloon kadogo wenye ligi yao wakanishukia kama mwewe wa jangwani
Unaujua uwanja wa taifa?Sasa ukiwa pale katikati ya uwanja mpira unapoanzia,tembea kuelekea golini mpaka ulivuke goli ukaribie Ile sehemu ya wanariadha,Huo umbali uliotembea ndio kimo Cha Hilo balloon!
 
Jeshi la Marekani limethibitisha ndege yao isiyo na ruban (Drone) imeangushwa kwa kugongwa na ndege vita ya Urusi katika Bahari Nyeusi ambako Jeshi la Marekan wanasema drone yao ilikuwa katika eneo la kimataifa!.

Ata hivo mjadala umeibuka kuwa drone ilienda kutafuta nini Bahari Nyeusi ambako bahari hiyo imeunganishwa na za Ukraine, Urusi, Uturuki

View attachment 2551440View attachment 2551445
Hii bahari haitoki maana sioni mkondo hapo
 
WARUSI WA BUZI BANA SASA KAMA MAREKANI ANA UWEZO WA KUPELEKA DRONES HADI KULE MBONA HAO WABAGUZI WARUSI HAWAPELEKI HATA PARACHUTE PALE JIRANI NA HAWAII?? HAWAII MBALI WAPELEKE PALE ALASKA JIMBO LAO WALILOMUUZIA MMAREKANI🤣🤣🤣

HALAFU COLLISION YA VIFAA VYA ANGA NI JAMBO LA KAWAIDA, WALIWAHI KUGONGANA NDEGE YA MAREKANI NA UCHINA TENA ZA KIVITA.KUNA UTOFAUTI KATI YA KUSHAMBULIA DRONE NA KUIGONGA, KWANINI HAWAKUIANGUSHA KWA BOMU? 🤣

MOTO UKO PALE PALE URUSI HII VITA NI ANGAKO LAKE MAZIMA,MTAKE MSITAKE
 
Back
Top Bottom