Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Yaan mrusi anajua kutufurahisha warusi wa buza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli...kachokozaje hapoMarekani ni mchokozi ilihali ni mchovu sawasawa na mnywa piwa.
Marekani inajaribu kuitikisa Urusi bahati mbaya inajikuta yenyewe ndio inatikisika makalio 😁
🤣🤣Yaan mrusi anajua kutufurahisha warusi wa buza
Ni kweli, mambo ya kivita siyajui. Hata huu uzi wa Russia na Ukraine nimejichanganya tu nikajikuta nimecomment, ila wala si mpenzi au mshabiki wa Russia au Marekani kama mlivyo.Ujinga ni mzigo mzito sana
Ni kama baloon ya china ilivyo shambuliwa na ndege ya kisasa ya marekani. Yaani unaambiwa kombora lake moja tu 1mil USD sasa zidisha kwa 2300 alafu zidisha kwa makombora 2 upate kwa pesa ya madafu.ka drone kalivyo kadogo kanashambuliwa kwa ndege ya vita
Tupeane maarifa, lilikuwa na ukubwa gani hilo baloon. Nisije nikasema ka baloon kadogo wenye ligi yao wakanishukia kama mwewe wa jangwaniNi kama baloon ya china ilivyo shambuliwa na ndege ya kisasa ya marekani. Yaani unaambiwa kombora lake moja tu 1mil USD sasa zidisha kwa 2300 alafu zidisha kwa makombora 2 upate kwa pesa ya madafu.
Yani unamfundisha mtoto wa Dubu ukorofi alafu dubu akichukua hatua ya kumfundisha mtoto wake adabu wewe unakuja tena kuzungusha sketi kwenye makazi ya Dubu.Sio kweli...kachokozaje hapo
Wapeleke Iran akaifanyie reverse engineeringHii habari ni mbaya sana kwa Marekani. shida amepeleka ndege hiyo ikiwa imezimwa transponder, jammaa wakaiondoa profdessionally bila kutumia silaha yeyote.
Hiyo drone iliyo fanyiwa hivyo ina tekinolojia ya juu ya siri ya marekani ....hivyo marekani wana haa kuitafuta ili mrusi asiweze kugundua baadhi ya siri pale atakapo ipeleka laboratory kuifanyia uchunguziKwakweli hii ni aibu kwa marekani wanaojiona Superpower kumbe ni Superpower ya mchongo tu na propaganda...
Imehusu nini na huu uzi.Azana imepigwa marufuku Saudi Arabia wewe