Ndo mpaka uwe umejiandaa kwa hiyo technologia ya kuzidondosha..Kama huna ujue itakuala kwako pakubw sana...coz kijamaa kinafumua Hadi mahandakiDrones are not always practical katika uwanja wa vita. Ndege hizi zisizo na rubani zinatumia remote controlled mechanism kuweza kuziongoza. Ila technology ya air defense ilipofikia, ni rahisi sana kuingilia mawasiliano kati ya drone na kituo vha kuziongoza. Pia unaweza kujam mawasiliano kwa kutumia EMP (ELECTRO MAGNETIC PULSE) zikawa zinadondoka tu zikifika kwenye anga lako.
Mu Iran alishawahi kuingilia mawasiliano ya drone ya kimarekani na kuicontrol kutua katika nchi yake...akaiba technology akaunda zake.
Hiyo vita haiwezekani unless kama hawajali raia wanalipua tu. Ingekuwa inawezekana kulikuwa hakuna haja ya Mmarekani kupeleka jeshi Afghanistan wa Iraq, angetumia ndege za mashambulizi tu na long range missiles.Hivi vidude vitakuja kufanya vita ziwe ngumu sana. Maana kwanza havionwi na rada za kawaida za ndege kwahiyo kuvifanya viweze kupenya ndani kabisa ya ngome za maadui na kuleta madhara makubwa. Na kadri teknolojia inavyoboreka ina maana vitazidi kuwa vidogo na bora zaidi kiasi kwamba itakua impossible kuvi detect na kujilinda dhidi yake. Huku tunakoenda itafika mahali nchi inakua na jeshi la drones tu ambalo linatumwa kwenda kushambulia na kurudi.
Nimekumbuka movieya eyes in the sky...halafu wanao-operate hizo drones unaweza kukuta ni watoto mayai, ila wana uwezo wa kukaa mbele ya monitor 12 to 16 hours with maximum concentration. kwa maneno mengine uwepo wa drones umebadilisha kwa namna ya kipekee maana ya kuwa askari.π€£
Naunga mkono hoja mzee baba.Huenda hata Tz zipo...tena inabidi tuzitumie huko Msumbiji.
Halafu US asipopeleka majeshi yake yale mafuta yanachotwa na contractors wake kule Iraq yatakua yanachotwa na hizo drones mzee baba?Hiyo vita haiwezekani unless kama hawajali raia wanalipua tu. Ingekuwa inawezekana kulikuwa hakuna haja ya Mmarekani kupeleka jeshi Afghanistan wa Iraq, angetumia ndege za mashambulizi tu na long range missiles.
Siyo kwasababu ya mafuta tu, lazima pia yawepo majeshi ya ardhini hata kama anapigana vita isiyo husisha kuiba mafuta. Unless awe hajali analipua tu na raia humo humo.Halafu US asipopeleka majeshi yake yale mafuta yanachotwa na contractors wake kule Iraq yatakua yanachotwa na hizo drones mzee baba?
Siyo kwasababu ya mafuta tu, lazima pia yawepo majeshi ya ardhini hata kama anapigana vita isiyo husisha kuiba mafuta. Unless awe hajali analipua tu na raia humo humo.
Kile kichapo kilikua cha maana na cha bila kelele mingi.Urusi alinyanua mikono ata Libya pia..alipata kichapo heavy..wakaamua tu yaishe
Haya mazoezi hata nchi za nje wanafanya kua na fittness ya mwili ila kwa upande wa pili teknolojia inatumika sana na wawekeza sanaSisi bado tunafanya mazoezi kwa kutambaa chini ya senyenge.
Yaani wenzetu kila kitu wanskirahisisha kupitia technology.
Kuna video niliona jamaa wameshika pad tu mbele kuna monitor anatwanga tu watu na drone yenye bunduki yaani faster tu.Hivi vidude vitakuja kufanya vita ziwe ngumu sana. Maana kwanza havionwi na rada za kawaida za ndege kwahiyo kuvifanya viweze kupenya ndani kabisa ya ngome za maadui na kuleta madhara makubwa. Na kadri teknolojia inavyoboreka ina maana vitazidi kuwa vidogo na bora zaidi kiasi kwamba itakua impossible kuvi detect na kujilinda dhidi yake. Huku tunakoenda itafika mahali nchi inakua na jeshi la drones tu ambalo linatumwa kwenda kushambulia na kurudi.
Sasa ivi A/mashariki tunacheza na siasa na wanasiasa ivyo vitu ni vya nchi za dunia ya kwanza ambao hao ndio wanaishi karne 21. Sisi wa dunia ya 3 badi tupo karne 18, huoni hata style ya uwendeshaji wa nchi hizi bado ziko katika vita ya seriali na mpinzaniUturuki alimtesa hata Russia kule Syria na hizo drones.
Hivi hapa A/Mashariki kuna nchi zinajua kucheza na hayo madude.?
Uturuki alimtesa hata Russia kule Syria na hizo drones.
Hivi hapa A/Mashariki kuna nchi zinajua kucheza na hayo madude.?
Hivi vidude vitakuja kufanya vita ziwe ngumu sana. Maana kwanza havionwi na rada za kawaida za ndege kwahiyo kuvifanya viweze kupenya ndani kabisa ya ngome za maadui na kuleta madhara makubwa. Na kadri teknolojia inavyoboreka ina maana vitazidi kuwa vidogo na bora zaidi kiasi kwamba itakua impossible kuvi detect na kujilinda dhidi yake. Huku tunakoenda itafika mahali nchi inakua na jeshi la drones tu ambalo linatumwa kwenda kushambulia na kurudi.
Mambo ya kuwa na misile launcher na vifaru vingi imepitwa na wakati...hicho kijamaa kimamaliza almost hifadhi yote ya silaa na kumaliza almost wajeda wote wa Armenia.