Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Africa nzima at once? Wacha wee![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Africa nzima at once? Wacha wee![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Veta wanacopy technologia youtube
Africa nzima at once? Wacha wee![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu nashukuru sana kwa muda wako kunielimisha hii ishu.Vita siyo kati ya Uturuki na Armenia bali ni kati ya Azebaijan na Armenia, Uturuki ni mshirika tu.
Kumbuka hizo nchi mbili yaani Armenia na Azabeijan zilisha kuwa chini ya imaya zenye nguvu kubwa duniani kwa nyakati tofauti yaan Ottoman na Usoviet.
Azabeijan na Uturuki ni marafiki wakubwa na wana shea vitu vingi kuanzia lugha,utamaduni ,dini na kinasaba yaan kiufupi ni watu wenye asili moja sema wana tenganishwa na mataifa yao tu ,ila Azebaijan wafuata uslam wa shia wakati Uturuki wakiwa ni suni.
Upande wa Armenia wao ni wakiristo na wanaegemea upande wa Urusi.
Sasa tuje kwenye chanzo cha uhasama kati jamii hizi mbili uhasama wao umeanzia mbali sana kipindi cha Ottoman ,kama nilivyo kueleza hapo mwanzo ni kwamba jamii zote hizi mbili zilishahi kutawaliwa na Ottoman.
Wakati wa vita ya kwanza ya dunia Ottoman ilifanya maangamizi makubwa dhidi ya watu wenye asili ya Armenia ikiwa watuhumu kwa usaliti baada ya kugundua ya kwamba walikuwa wakishirikaana na Urusi kuihujumu Ottoman mpaka kupelekea Ottoman kushwindwa vibaya sana kwenye vita vya dunia.
Zaidi ya Waarmenia million moja na nusu wali uawa na mamilion kukimbia ili kunusuru maisha yao na ndio maana Waarmenia ni jamii iliyo sambaa sana mashariki ya kati ukienda Iran,Syria,Iraq, Afghanistan utawakuta ila hizo nchi siyo asili zao bali walisambaa kwenye hizo nchi wakati wanakimbia maangamizi ya Ottoman.
Kwa hiyo Waarmenia wanawa tizama watu wenye asili ya kituruki kama maadui zao wakubwa kutokana na walicho wahi kufanyiwa na Ottoman .
Sasa tuje kwenye mgogoro unao endelea kwa sasa kumbuka pia hizi nchi zikuwa mojawapo ya majimbo ya ilyo kuwa Usoviet, baada ya Usoviet kuanguka na majimbo yaliyo kuwa chini yake kujitangazia uhuru wao.
Sasa upande wa Azabeijan kuna Jimbo moja lina itwa Nahgorobo karabhak,hili jimbo liko kwenye mipaka ya Azabeijan ila watu wake ni watu wenye asili ya Armenia na ni wakiristo kwahiyo baada ya mataifa hayo kujitangazia Uhuru kitoka Usoviet watu wa hilo jimbo wakawa hawataki kuwa chini ya Azabeijan bali wanataka kuwa chini ya Waarmenia wenzao kitu ambacho Azabeijan iligoma kabisa ,kugoma kwa Azabeijan kulisababisha kulipuka vita mwaka 1990 Armenia ililivamia hilo jimbo kwa kushirikiana wanamgambo wa eneo hilo na kufanikisha kuliteka eneo hilo kutoka kwa Azabeijan.
Azabeijan imesha fanya majiribio kadhaa ya kulikomboa jimbo hilo ila imekuwa ikigonga mwamba.
Hii vita ni kati ya Armenia na Azabeijan ila kila upande unaungwa mkono na mataifa yenye nguvu.
Upande wa Armenia anaugwa mkono na Urusi ,uku Azabeijan ikiungwa mkona na Uturuki.
Ila utofauti wa hii vita na vita ya uko nyuma ni kwamba Uturuki imejiingiza moja kwa moja kwenye hii vita wakati huko nyuma ilikuwa ina tuma silaha tu.
Kwa hiyo vita chanzo chake ni hilo jimbo liitwalo Noghorok karabhak.
Pamoja mkuuMkuu nashukuru sana kwa muda wako kunielimisha hii ishu.
Warusi wana private military wanaitwa WAGNER group.awa jamaa wana base kwenye mji wa Sitre na al jufra.hii miji imeshindikan kabisa kukombolewa maana ni miji ambayo ukipata basi una miliki asilimia 70 ya visima vya mafuta vya Libya.Russia walikua wanaibackup serikali inayoungwa mkono na umoja wa mataifa..Turkey na wenzake walikua anawabackup waasi..so full mchapano...
![]()
Russia and Turkey’s Proxy War in Libya Heats Up
The oil-rich African nation is in danger of becoming the next Syria.foreignpolicy.com
Kama hujui usiongee, hata USSR USA na nchi nyingine wanafanya hayo mazoezi ya kutambaa na mikesha yote, lengo kuu ni kumpa Askari ukomavu wa mwili na uvumilivuSisi bado tunafanya mazoezi kwa kutambaa chini ya senyenge. Yaani wenzetu kila kitu wanskirahisisha kupitia technology.
Kama hujui usiongee, hata USSR USA na nchi nyingine wanafanya hayo mazoezi ya kutambaa na mikesha yote, lengo kuu ni kumpa Askari ukomavu wa mwili na uvumilivu
The rise of machineHivi vidude vitakuja kufanya vita ziwe ngumu sana. Maana kwanza havionwi na rada za kawaida za ndege kwahiyo kuvifanya viweze kupenya ndani kabisa ya ngome za maadui na kuleta madhara makubwa. Na kadri teknolojia inavyoboreka ina maana vitazidi kuwa vidogo na bora zaidi kiasi kwamba itakua impossible kuvi detect na kujilinda dhidi yake. Huku tunakoenda itafika mahali nchi inakua na jeshi la drones tu ambalo linatumwa kwenda kushambulia na kurudi.
Ile mizigo Ni jiko linalotembea mzee, ule ulioona sio rungu Ni mwiko wa kupikia.Juz wkt presidaa alikuwa anakula kiapo mara likapita jeshi la jw kutoa salute zao
Nyuma yao wakawa wanafuatiwa ma majeda wawili waliobeba mibegi mikubwa pomoja na bendera
Wakati naangalia vizuri nikaona amechomeka rungu mithili ya lile la kipepe
Sasa hizi drone na wakwetu wanaobeba marungu sijui hali ipoje
Kitu kama hicho mkuu. Unajua kiuhalisia, jeshi linahitaji gharama kubwa sana kuli maintain. Wanajeshi wanahitaji kula, kuvaa, matibabu, nyumba, nk. Bado utahitaji uwasafirishe mpaka kwenye uwanja wa vita, uwahudumie, upeleke na madaktari, madawa, wapishi, nk. Ila ukiwa na drones zako kama 1,000,000pcs hivi aaah we unazi deploy tu zinaenda kufanya maangamizi zikimaliza zinarudi na hata zikilipuliwa haziachi familia inayolia lia nyuma. Naona nchi nyingi zita opt kuwa na machines kuliko kua na wanajeshi.The rise of machine
Vita vya kisasa vinahusisha zaidi ya technologia ya Hali ya juu, yenye lengo la kupunguza gharama na kuongeza ufanisi.
Kwenye uwanja wa Vita drones zimekua zikifanya Mambo ambayo pengine kwa Vita ya zamani kwa Sasa kutokuwa nafasi.
Vita ya zamani watu walikua wanajificha kwenye mifereji na kwenye nyasi, au comouflage blankets but kwa Sasa kufanya hivyo Ni utopolo kutokana na ukweli kwamba drones na ndege Vita zinathermal sensors ambazo zinaweza detect joto mwili hivyo kuweza kumuona mtu au kifaa popote kilipo.
Kwa Sasa mbabe wa drones Ni Uturuki anayetumia drones zinazoitwa Byraktar Tb2.
View attachment 1624279
Sekeseke la drones hizi wameshazipata Syria na Sasa Armenia.

Ni kweli, na nalijua hilo ila haiondoi kuwa kuna haja ya kuboresha mifumo yetu na si kubaki vilevile.Kama hujui usiongee, hata USSR USA na nchi nyingine wanafanya hayo mazoezi ya kutambaa na mikesha yote, lengo kuu ni kumpa Askari ukomavu wa mwili na uvumilivu
Haaaaaaa daah wabongo buana.mods wamefuta comments za kukosoa jeshi la mfalme wa Tanganyika.
Hivi mkifuta inasaidia nini?
Ukweli ni kwamba hawa tulionao ni migambo plain tu ambao kazi yao kubwa ni kurusha mateke na kuwakimbiza akina Fatma Karume.
Jeshi la kuvunja maboksi. Duh.
Hao si walizingirwa toka mwaka jana,,walikuwa wakiishi kwa kuzingirwa,syria hawakutaka kuwaua au kuwachukua mateka,,sasa wamechoka wakaamua kuondoka,maana hata supply ya vitu,sharti ipite kwa kuruhusiwa na syria arab armymbona kwa sasa hao waturuki wenu wanafurushwa na majeshi ya Syria, juzi kati wamekimbia miji 2 huko Syria baada ya kuzingirwa, hivyo vi drone vilikuwa ?
Haka ndo kalifanya yake ule mlipuko wa lebanonView attachment 1625685
Hii ni Spike firefly,israel infantry portable loitering munitions.
Haka kanatoshea kwenye bag la mgogoni tu,na kanakuwa controlled via program ambayo iko installed kwenye tablet,
Range yake kwa mjini mita 500 na kwa open space mita 1000,
Kama huwa unasikia kule syria,mara mtambo wa umeme umelipuka,au kisima cha mafuta kimewaka,mchawi ndo huyu,
Inflitrator anakabeba kwenye backbag hadi karibu na target na kukarusha kisha anaka direct kwenye target via tablet,,kisha anasepa,unabaki unashangaa store inawaka,
Payload gram 350.