Drones za Korea ya Kaskazini yalichezea anga la Korea ya kusini mbele ya Air defense system za Marekani kwa masaa 7 na kurudi salama kituoni

Kama drone ilipiga 600km deep in russia, tena kwenye airbase sasa hapo nini cha ajabu.

Alafu kuwa na akili kidogo huwezi tumia THAAD/PARTIOT kwenye cheap target kama hizo.

Kwa hiyo ukiona 100 rounds akili yako inakwambia makombora 100 ? (Pole sana)
NI rounds of ammunitions!! Ammunitions zinazorushwa na ndege za kivita ni MAKOMBORA!! Rounds of ammunitions zinazorushwa na bunduki ni risasi!! Rounds of ammunitions zinazorushwa ni mizinga ni mabomu!!
Kwa hiyo kujua ni rounds of ammunitions zipi zimerushwa ni kujua kwanza kifaa kilichotumika kuzirusha!!
Korea ya kusini ili-scramble ndege za kivita kuzifuatilia hizo drones!! Hiyo ni tuition ya bure!! Haya tuambie wewe hizo 100 rounds zilizorushwa na ndege za kivita ni nini? Ni mawe au?
 
Imesafiri
Aisee jamaa kumbe dunia imekuacha eenh.

Je unajua 5 December, Engels ilipigwa. Hii ni se cond time bro.

Pia inakuaje drone ina safiri 600km deep into your country?
na imetunguliwa ha ha ha imekuwaja drone za Korea zikapenya MPAKA jiji LA Seoul zinalo lindwa na USA made air defense mbaya zaid pale mpakani kuna patriot PAC 3 hizi hudeal na low flying kama cruiser misseli na drone. Lakini drone za Korea kaskazini zilipenya kudadeki
 
Ndege za kivita zirushe Makombora 100!!!! Aiseeee! Hii kali
 
SK walizitrack drone wakatuma fighter jet pamoja Helicopters,lakini ndugu yetu Supapawa drone imeenda 600km deep kwenda kubutua airbase.
Usijitoe ufahamu. Hazijapiga air base ya urusi, bali zilitungulia zilipokaribia hiyo air base!! Kama haujui lugha ya malkia omba mkalimani. Soma sehemu iliyokolezwa wino hapo chini toka CNN.

CNN —
Three Russian servicemen were killed Monday after a Ukrainian drone was shot down by air defenses as it approached a military airfield in Saratov Oblast, deep inside Russian territory
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]upo sahihi lakini haupo sahihi pia.

Kwa hiyo S.Korea wamerusha missile 100
Kiongozi hivi unazijua missile 100 kweli?

Kwa taarifa yako Ndege vita na karibia helicopter za combat zote zina bunduki high caliber/amor piercing

Mfano unaijua A-10 warthog, ni maarufu kwa sababu ya Gattling gun yake pale mbele

Mfano bunduki za ndege ni M-61 Vulcan 6 Barell Gattling Gun
 
Hahahaha Yani drone imekuja kutunguliwa ishafika ndani ya base na kuua wanajeshi watatu halafu mnasifu hyo nchi ina air defenses?! Ina maana hizo drone zingetaka kushambulia miundombinu mingine kama ya nishati zingeshambulia bila taabu yoyote
 
Kiongozi reply yangu umeiruka lakini.

Nakukumbusha kuwa hii ni mara ya pili
 
Kama hazijapiga base ya Urusi hao wanajeshi watatu wamekufaje?! [emoji23] Mkisoma habari muwe mnachekesha akili kidogo
 
hii nmeisikia leo cnn na bbc pia mpaka nikashtuka
 
Bunduki za ndege mitutu yake huweza kurusha mabomu na makombora!!! Hazirushi risasi kama za kwenye bunduki za mikononi!! Lakini vyovyote vile, walirusha "silaha' 100 wanazoziamini kutungulia ndege na drones za adui na zikashindwa!! Haya tuambie wewe hizo 100 rounds toka kwenye ngede za kivita yalikuwa ni mawe au??
 
Ni risasi za gattling gun. Haya wewe thibitisha ni 100missiles.
 
Ukumbuke ni standard kwa ndege vita/combat helicopter kuwa na gun

Mfano hapo chini ni specs za KA50/KA52 Helicopter ya Urusi. Hizo rounds hapo ni missil

 
Hata ndege Vita zinatumia Risasi. Kajifunze uongeze maarifa.
 
Kama hazijapiga base ya Urusi hao wanajeshi watatu wamekufaje?! [emoji23] Mkisoma habari muwe mnachekesha akili kidogo
Usitunge kichwani kwako, soma habari ilivyo kwenye chombo chochote cha habari cha MABEBERU unachokiamini BBC, CNN, RUETERS nk. Tatizo hujui kiingereza,. Maelezo jinsi walivyokufa wale askari yametolewa vizuri tu. Walidondokewa na kifusi / Debris cha drone iliyotunguliwa ikiwa inawaka moto tokea angani. Drone ingepiga ndege au chochote na kuilipua mabeberu LAZIMA wangerusha picha ya ndege iliyopigwa na kuwaka moto!!

Soma tena!!
CNN —
Three Russian servicemen were killed Monday after a Ukrainian drone was shot down by air defenses as it approached a military airfield in Saratov Oblast, deep inside Russian territory
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…