Drones za Korea ya Kaskazini yalichezea anga la Korea ya kusini mbele ya Air defense system za Marekani kwa masaa 7 na kurudi salama kituoni

Drones za Korea ya Kaskazini yalichezea anga la Korea ya kusini mbele ya Air defense system za Marekani kwa masaa 7 na kurudi salama kituoni

Haujui

Haujui kitu!! Nitumie layman language ili uelewe!! Missile ni usafiri unaobeba bomu la aina fulani ili lifikishwe kwenye target!! Lina guidance system sawa lakini missile inabeba bomu!! Missile inarushwa na kirushio chake, inaruka ikiwa imebebeshwa bomu hadi hilo bomu lifikishwe kwenye target!! Bomu pia linaweza kurushwa au kufyatuliwa moja kwa moja toka kwenye kifyatuo chake ambacho kinaweza kuwa ni mzinga!! Kwa kiswahili missile ni kombora!! Mwisho wa siku kinachoangamiza ni BOMU!! Ndege za kijeshi huweza kurusha mabomu au kudondosha mabomu moja kwa moja hadi kwenye target. Lakini target inayotembea huwezi kuirushia bomu moja kwa moja, lazima hilo bomu liwe guided/lielekezwe ndio maana hutumia missilles/makombora, Ninafahamu pia kuwa ndege za kivita zina mitutu inayoweza kurusha risasi. Lakini mitutu ya ndege hurusha risasi kwa mamia hadi maelfu kwa dakika moja! Hurusha risasi nyingi kwa dakika ili kuongeza uwezekano wa angalau zingine zifanikiwe kufika kwenye target. Kama rounds hizo zingekuwa za risasi zisingekuwa 100 tu kwa mapambano ya masaa 7 yaliyohusisha ndege zaidi ya moja!! Zingekuwa ni malaki hadi mamilioni katika kipindi cha masaa 7. Ndio maana timu marekani hawana ujasiri wa kueleza hizo rounds 100 ni za nini!! Haya tuambie wewe hizo round 100 ni za mawe au? Mimi nimesema ni makombora/missiles kwa sababu zilikuwa zinalenga target inayotembea kwa hiyo lazima bomu liwe guided. Kombora/missile ndio huwa na guidance system! Risasi hazina guidance system ndio maana zikirushwa kwenye target inayotembea lazima ziwe ni maelfu kwa malaki maana ni kubahatisha!!
Unatumia akili nyingi kumuelewesha mpingaji ......enewei una kipaji cha ualimu

Jamaa wa ikulu kanipuna hela yangu
 
Quote zangu zote huko juu umeziruka. Sasa nina haja gani ya kujadiliana na wewe tena.
Jibu maswali niliyokuuliza kwanza
Vyovyote itakavyokuwa ila suala la kushitua ni kuwa wameshindwa!

Nukta kuu ya mjadala ni kushindwa. Yawe mabomu, mizinga ama risasi au mikuki lakini nukta kuu ni kuwa zimeshindwa.

Kuanza kujenga hoja sijui ni risasi au vinginevyo au hata ukileta ushahidi juu ya unachotetea bado haiondoi hoja kuu kwa nini wameshindwa na anga lao SK linalindwa na mifumo ya anga ya Marekani!?

Kwa nini SK wameshindwa na kuna mifumo ya anga? Kwa masaa 7 ni hatari kubwa.
 
Mkuu mtutu wa helcopter humwaga mamia hadi maelfu ya risasi kwa dakika moja!! Sasa walipambana kwa masaa 7!! Haiwezi kuwa ni risasi!! Achana na ndege ya kivita hata kama ni machine gun ya kawaida haiwezi kuishia kumwaga risasi 100 tu kwenye mapambano ya masaa 7!! Halafu iliyokuwa inapambana siyo ndege moja!! KWA AIBU jeshi la korea ya kaskazini hawakuainisha ni rounds 100 za silaha ipi zilitumika, lakini kwa vyovyote vile haiwezi kuwa ni risasi bali ni mabomu/makombora!!

Details of North Korean drone incident revealed – media​

A North Korean drone ventured into its neighbour’s airspace for at least seven hours, South Korean media said, citing the military
Details of North Korean drone incident revealed – media

The South Korean military has said it fired more than 100 rounds at a trespassing North Korean drone on Monday, but failed to down it, according to Yonhap news agency. It is estimated that several unmanned aerial vehicles (UAV) remained in the South Korean airspace for seven hours.
Weka link acha uongo. Kwanza ni almost five hours siyo seven hours.
 
Vyovyote itakavyokuwa ila suala la kushitua ni kuwa wameshindwa!

Nukta kuu ya mjadala ni kushindwa. Yawe mabomu, mizinga ama risasi au mikuki lakini nukta kuu ni kuwa zimeshindwa.

Kuanza kujenga hoja sijui ni risasi au vinginevyo au hata ukileta ushahidi juu ya unachotetea bado haiondoi hoja kuu kwa nini wameshindwa na anga lao SK linalindwa na mifumo ya anga ya Marekani!?

Kwa nini SK wameshindwa na kuna mifumo ya anga? Kwa masaa 7 ni hatari kubwa.
Tusupigie sarakazi kwenye hili. Hoja ninayopiga ni mtoa mada kusema walipiga missile 100 kupambana na drone 5? Nilamuuliza hivi missile 100 anazijua kweli?

Pili nilimwambia vita ya kupambana ma drone ni ngumu kutokana na flight path yake. Nikampa mfano kuwa 5 December 2022, Urusi ilipigwa na drone mbili zilizotoka umbali wa zaidi ya 600km ilhali Russia ipo na sophisticated air defence systems kama S-Series na Pantisir
 
Mosi tunaweza inaweza ikawa kweli ama isiwe kweli, yote ni majibu.

Pili, hili suala la drone kupiga kambi ya Urusi halina ukweli kwa sababu limewekewa ushahidi kwenye huu Uzi kutoka vyanzo tofauti vya habari ambavyo vyote vinapingana na wewe. Sasa sielewi unavyobisha sijui unapata manufaa gani!?

Nukta kuu ni kwamba iwe missile au isiwe missile hoja ni kwamba zimekaa angani mwa SK masaa 7. Swali linakuja; imewezekana vipi hali ya kuwa SK kuna mifumo ya ulinzi salama? Haikutosha zikarudi NK salama.
 
Suala la drone kupiga kambi halina ukweli. Aisee we jamaa acha mahaba basi.

Nenda kwanza kapitie rekodi zako kilichotokea tarehe 5, December 2022 ndio tuje tuendelee na huu mjadala.

Screenshot_20221227-154029.jpg
 
Iliwezekana vipi drone kunavigate 600+km deep into russia kufanya Successful strike katika airbase tena kipindi ambacho nchi ipo kwenye high security alert?
 
Kama drone ilipiga 600km deep in russia, tena kwenye airbase sasa hapo nini cha ajabu.

Alafu kuwa na akili kidogo huwezi tumia THAAD/PARTIOT kwenye cheap target kama hizo.

Kwa hiyo ukiona 100 rounds akili yako inakwambia makombora 100 ? (Pole sana)
Je ilifanikiwa kupiga target no,
Je iliweza kutoka salama no.
Je walipiga makombora 100 No
Je wamepata mabaki ili waweze kufahamu aina hiyo ya drone Yes

Je wataweza kuitengenezea mwarobain, Yes.

Huo ndio utofauti wa matukio hayo mawili
 
Suala la drone kupiga kambi halina ukweli. Aisee we jamaa acha mahaba basi.

Nenda kwanza kapitie rekodi zako kilichotokea tarehe 5, December 2022 ndio tuje tuendelee na huu mjadala.

View attachment 2459924

Nime subscribe channel zaidi ya 1. Channel za magharibi na mashariki mwa ulaya. China pia imo ndani. Channel za Russia pia. Channel za makamanda wa kijeshi kama Douglas Macgregor. Unachobisha picha niliiona na video niliiona. Tena iliangukia gari 1 tu ya kijeshi na kuua hao servicemen.

Wengine hatuna muda wa kubishana. Hii 1 imetiki tunasonga mbele! Iwe kwetu imependeza haijapendeza tunakubaliana na fact tunasonga mbele! Kama ubishani kwako ni sanaa wewe endelea ku entertain. Sisi wengine tupo hapa kwa ajili ya kuelimishana na kupeana habari. Period..
 
Je ilifanikiwa kupiga target no,
Je iliweza kutoka salama no.
Je walipiga makombora 100 No
Je wamepata mabaki ili waweze kufahamu aina hiyo ya drone Yes

Je wataweza kuitengenezea mwarobain, Yes.

Huo ndio mafauti ya matukio hayo mawili
Aisee nyie jamaa mna mahaba.

December 5 kambi mbili za kijeshi za urusi zilipigwa ndani ya Urusi,umbali wa takribani 500+km toka Ukraine.

Drone zilihit target
None was tracked
None was intercepted

Sasa ziliwezaje kunavigate 600km without being detected,tracked or intercepted

S-300
S-400
S-500
Pantisir and Co. Zilikua zimelala.

Angalau hata SK waliweza kutrack na kuengage.

Je hizo air defense za urusi zilikwama wapi.

Screenshot_20221227-154029.jpg
 
Nime subscribe channel zaidi ya 1. Channel za magharibi na mashariki mwa ulaya. China pia imo ndani. Channel za Russia pia. Channel za makamanda wa kijeshi kama Douglas Macgregor. Unachobisha picha niliiona na video niliiona. Tena iliangukia gari 1 tu ya kijeshi na kuua hao servicemen.

Wengine hatuna muda wa kubishana. Hii 1 imetiki tunasonga mbele! Iwe kwetu imependeza haijapendeza tunakubaliana na fact tunasonga mbele! Kama ubishani kwako ni sanaa wewe endelea ku entertain. Sisi wengine tupo hapa kwa ajili ya kuelimishana na kupeana habari. Period..
Hivi jamaa kweli upo serious wewe. Hii wa kufa wanajeshi 3 ni ya juzi ambayo ni most recent.

Je unajua hii ni mara ya pili hiyo base kulengwa. Nimekwambia Dec 5 ilipigwa hapo na ndege zikaharibiwa na mpaka picha za satellite zikatolewa. Usijizime data

Back
Top Bottom