Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Ukisema wewe yatoshaYanga mbona hawasemi chochote kuhusu super cup. Why?
Weka kwa masaa ya madafu. Ni sangapi itakuwa huku kiwalani?The 2022/23 CAF Champions League and Confederation Cup quarterfinal stage draw will take place in Cairo today. [emoji1093]
The draw ceremony will begin at 18:30 hours GMT and 21:30 hours EAT! [emoji354]
Stay right here for all the updates. [emoji599]
Kwani droo si saa tatu usiku?Stay tuned hapa kwa updates mbalimbali kwa yatakayojiri katika droo hii hapo baadaye.
Simba SC 🇹🇿 anaweza akakutana na tumu moja wapo kati ya hizi
• ES Tunis 🇹🇳
• Mamelodi Sundowns 🇿🇦
• Wydad Club Athletic 🇲🇦
Yanga SC 🇹🇿 inaweza kukutana na tumu moja wapo kati ya
• A = USM Alger 🇩🇿
• B = Rivers United 🇳🇬
• C = Pyramids FC 🇪🇬
Unatamani timu yako ikutane na nani?
Mnaiona nusu fainali?
Saa tatu usikuWeka kwa masaa ya madafu. Ni sangapi itakuwa huku kiwalani?
Hao anao kutana nao ni wagumu zaidi yakeWhen it comes to champions [emoji471] League Simba ni mgumu sana
Kwani sasa hivi unaitwa nani bibie?Mimi mchambuzi wa Utopolo natabiri Uto kukutana na kati ya USM Alger,Rivers United, Pyramids FC. Isipotokea mniite Aisha maUTI
21:30Weka kwa masaa ya madafu. Ni sangapi itakuwa huku kiwalani?
21:30Kwani droo si saa tatu usiku?
Waleteni hao wenye bahati mbayaLeo draw ya klabu bingwa Africa itafanyika pale Cairo, Misri makao makuu ya CAF ambapo klabu za Tanzania Simba sc na Young Africans sc zikiwa ni miongini mwa team zilizofuzu hatua ya robo fainali. Simba sc inaweza kutana na Mamelodi Sundowns, Wydad Casablanca au Esperance de Tunis huku Young Africans inaweza kukutana na USM Alger, Rivers united au Pyramids.
Je, ungetamani team yako ikutane na nani?View attachment 2577354
Baada ya kupangiwa esperance au?