Droo ya Play-off, Yanga yapangwa na Club Africain ya Tunisia

Droo ya Play-off, Yanga yapangwa na Club Africain ya Tunisia

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001


Yanga imepangwa kucheza dhidi ya Club Africain ya Tunisia katika Hatua ya Mtoano ya Kombe la Shirikisho.

Mechi za kwanza inatarajiwa kuchezwa Novemba 2, 2022 na marudio ni wiki moja baadaye Novemba 9, 2022.

Mshindi wa hapo atapata nafasi ya kuingia katika Hatua ya Makundi ambayo inatarajiwa kuanza Februari 12, 2023 hadi.

Aprili 2, 2023
===

Wakuu droo inafanyika leo kuanzia saa 8 mchana. Kupitia Azam HD tutajua ndugu zetu Utopolo watapangiwa na nani.

POTS for CAF Confederation Cup PLAY-OFF ROUND!

POT 1
🇨🇩 TP Mazembe
🇨🇮 ASEC Mimosas
🇲🇱 Djoliba
🇱🇾 Ahli Tripoli
🇦🇴 Primeiro de Agosto
🇸🇿 Royal Leopards
🇧🇫 Kadiogo / 🇨🇩 Vita Club

POT 2
🇨🇮 Gagnoa
🇲🇱 AS Real
🇱🇾 Al Akhdar
🇿🇦 Royal AM
🇨🇩 Eloi Lupopo
🇿🇦 Marumo Gallants
🇲🇦 AS FAR
🇪🇬 Future FC
🇨🇬 Diables Noirs

POT 3
🇳🇬 Rivers United
🇳🇬 Plateau United
🇳🇪 Nigelec
🇹🇳 US Monastir
🇸🇨 La Passe
🇹🇬 ASKO de Kara
🇧🇮 Flambeau du Centre
🇿🇦 Cape Town City
🇹🇿 Young Africans

POT 4
🇩🇿 USMA
🇲🇦 RS Berkane
🇪🇬 Pyramids
🇹🇳 CS Sfaxien
🇱🇾 El Nasr
🇹🇳 Club Africain
🇨🇩 DCMP

Droo itafanyika kwa Timu za Pot 1 kwa Pot 2. Pia Pot 3 kwa Pot 4. Timu 2 zitakazobaki itafanyika droo ya zenyewe kwa zenyewe.

Mungu ibariki Yanga ipangiwe kati ya Berkane, USMA, Pyramids, CS Sfaxien na Club Africain. Kisha watujibu kama hili ni kombe la looser au vepe

Updates
Young Africans vs Club Africain

Kifupi wameingia mtumbwi wa vibwengo. Ataanzia hapa kisha ugenini
 
Yanga Wana bahati mbaya sana sana
IMG-20221018-WA0026.jpg
 
Back
Top Bottom