Droo ya robo fainali kombe la Shirikisho Afrika: Simba kukipiga na Orlando Pirates

MANAAKE HAPO KWANZA NICHEKE 😂😂🤣🤣🤣

WATANI ZANGU ASANTENI KWA KUSHIRIKI, TUONANE MSIMU UJAO

MBWEMBWE ZENU ZINAISHIA ROBO FAINALI TU HAPO


ORLANDO PIRATES A.K.A ''Amabhakabhaka, The Sea Robbers, Bucs, Happy People, Buccaneers, Ezimnyama Ngenkani''
 
Dah! Kweli ng'ombe wa maskini hazai! Yaani hapo Simba ana wakati mgumu. Bora hata angekutana na hao Waarab wa Libya, au Tp Mazembe!

Anyway, ngoja tusubiri tuone. Kwa sababu lolote linaweza kutokea. Maana bado hatujasahau walichofanywa kwenye mechi ya ugenini na Kaizer Chiefs msimu uliopita.
 
Kwa hiyo ingekuwa ni Yanga yako kauli mbiu yenu ya daima mbele ungeikana kisa umepangwa na Orlando timu uiogopayo?
 
Hujatahiriwa wewe. Mwanaume aliyekatwa govi lile haweza kuropoka ovyo ovyo na kujichekesha chekesha ovyo kama wale wadada wanaoshinda baa, kisa simba. Pumbavu. Kama we ni mwanaume unatakiwa ue kama mwanaume kweli , sio kama govi.
Sawa mkuu
 
Kwa hiyo ingekuwa ni Yanga yako kauli mbiu yenu ya daima mbele ungeikana kisa umepangwa na Orlando timu uiogopayo?
MKUU KUNA SEHEMU NIMEANDIKA NAIOGOPA ORLANDO?😆

Kwa namna yoyote siwezi kuikana Yanga yangu!
 
Hii ni pigo kwa Simba,timu nzuri ilikuwa zile za Waarabu kama iliyocheza na Biashara Al Ahly Tripoli au Al Ittihad zote za Libya

Orando ni mlima mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…