Droo ya robo fainali kombe la Shirikisho Afrika: Simba kukipiga na Orlando Pirates

Droo ya robo fainali kombe la Shirikisho Afrika: Simba kukipiga na Orlando Pirates

We have not finished our business with south Africans..we are red nation, we are Simba brother!

Genta tunatoboa nusu,trust me!!

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Utaratibu ni ule ule, Marafiki wa Orlando Pirates huu ni uzi wetu. Hapa ndio mahali tutakapokuwa tunakutana kupanga mikakati ya ushindi.

Mechi robo fainali tutacheza dhidi ya simba ya huko Tanzania. Mechi ya kwanza tutaanzia huko kwao kisha mechi ya pili watakuja hapa soccer city...
Umeanzisha huu uzi fresh kabisa ila atakuja mtu huko kukuita mshabiki wa Yanga kisa tu Orlando pirates
 
Naona mashabiki wa Yanga wanafurahia Simba kupangwa na Orlando Pirates

Al ahly, Zamalek, Wydad, Raja, CS Sfaxien, Etoile du Sahel, TP mazembe hawa magiant lazima wawepo kila msimu hatua za juu

Berkane, Pyramids na Mamelodi hawa nao miaka ya karibuni wamekuwa miongoni mwa magiant

Ikabidi niangalie mafanikio ya Pirates maana huwa siwasikii kwenye mashindano ya afrika zaidi huwa nawasikia kwenye Soweto derby

20220405_180840.jpg
 
Wakuu najaribu kutafuta hbr za Simba kapangwa na Nani sijaona mpaka kufikia sas embu niambieni in a very brief ly
Mnyama atacheza na Nani lini na atanzia ugenini au Happ Hap kwa wazee wa vitochi

Ova
 
Hakuna cha maana hapo ulichoandika simba watu wazima usitutishie nyau….sisi sio UTO masihara tupo finale kweli team yetu ina madhaifu ila tuna kufa kiume kama Ukraine…mwanaume hutakiwi kuwa muoga hivo kwa mwanaume mwezako….huo woga wenu wake zenu mnaishi nao vipi au! SiMBa NGuvu Moja Tunapita kikwazo hiko
 
Woga hatuna ugenini ni kujitahidi kishinda ikishindikana tunaforce sare ikiahindikana sare basi n kupunguza idadi ya magoli ila nyumbani piga ua tunapaswa kushinda kwa namna yoyote.

Hayo mengne ya jina la time na vile iko na hali nzuri achana nayo amini hata hao wasouth wanatuhosia kutokana na hiatoria yetu kwenye mashindano haya
 
Hahaha wachawi wa wa maendeleo ya soccer la bongo hawa
 
Issue ni kwamba Hyo struggle inaanzia Bongo yaan ni Bora ingeanzia SA kule wangefungwa hata magoli mawili basi hapa kwa Mkapa wangekuja kujipambanua kama kawaida Yao.. Ila kwa huu Mpira wa Simba wa ugenn wa kugongwa Hadi 5 bila kama hapa home atashinda chini ya 3 basi kule SA anaenda kumalizia tu mashindano.
 
Naona mashabiki wa Yanga wanafurahia Simba kupangwa na Orlando Pirates

Al ahly, Zamalek, Wydad, Raja, CS Sfaxien, Etoile du Sahel, TP mazembe hawa magiant lazima wawepo kila msimu hatua za juu

Berkane, Pyramids na Mamelodi hawa nao miaka ya karibuni wamekuwa miongoni mwa magiant

Ikabidi niangalie mafanikio ya Pirates maana huwa siwasikii kwenye mashindano ya afrika zaidi huwa nawasikia kwenye Soweto derby

View attachment 2176868
Safari bado ni ndefu
 
Hakuna cha maana hapo ulichoandika simba watu wazima usitutishie nyau….sisi sio UTO masihara tupo finale kweli team yetu ina madhaifu ila tuna kufa kiume kama Ukraine…mwanaume hutakiwi kuwa muoga hivo kwa mwanaume mwezako….huo woga wenu wake zenu mnaishi nao vipi au! SiMBa NGuvu Moja Tunapita kikwazo hiko
Hawa ndo wale wanavamiwa wanaliwa na kiboga bila upinzani.
Mwanaume n kuamin unaweza kutoboa hayo mengne ya kushindwa n bahati mbaya. Anadhan olando hawatuhofiii? Nao wanagofu dhidi yetu kutokana na record zetu
 
Izo timu zilizopo kundi moja na simba nao pia kila mmoja kwa wakati wake anaombea asikutane na simba,
Usemalo n kweli record ya simba si njema sana hasa inapofika kupgania nafasi ya kusonga mbele inapgana sanaaa
 
Dah! Kweli ng'ombe wa maskini hazai! Yaani hapo Simba ana wakati mgumu. Bora hata angekutana na hao Waarab wa Libya, au Tp Mazembe!

Anyway, ngoja tusubiri tuone. Kwa sababu lolote linaweza kutokea. Maana bado hatujasahau walichofanywa kwenye mechi ya ugenini na Kaizer Chiefs msimu uliopita.
Mkuu tuiombee Timu yetu pendwa sana ya Simba ili iweze kufanya vizuri, maana Ushindi wa SIMBA utakuwa ni Ushindi wa Watanzania wote.
 
Hujatahiriwa wewe. Mwanaume aliyekatwa govi lile haweza kuropoka ovyo ovyo na kujichekesha chekesha ovyo kama wale wadada wanaoshinda baa, kisa simba. Pumbavu. Kama we ni mwanaume unatakiwa ue kama mwanaume kweli , sio kama govi.
Kha!kha!, Utopolo's voice.
 
Back
Top Bottom