Droo ya robo fainali kombe la Shirikisho Afrika: Simba kukipiga na Orlando Pirates

Droo ya robo fainali kombe la Shirikisho Afrika: Simba kukipiga na Orlando Pirates

Hujatahiriwa wewe. Mwanaume aliyekatwa govi lile haweza kuropoka ovyo ovyo na kujichekesha chekesha ovyo kama wale wadada wanaoshinda baa, kisa simba. Pumbavu. Kama we ni mwanaume unatakiwa ue kama mwanaume kweli , sio kama govi.
God gave us mouths that close and ears that don't. That should tell us something.

Never interrupt your opponent while he's making a mistake!
 
Dah! Kweli ng'ombe wa maskini hazai! Yaani hapo Simba ana wakati mgumu. Bora hata angekutana na hao Waarab wa Libya, au Tp Mazembe!

Anyway, ngoja tusubiri tuone. Kwa sababu lolote linaweza kutokea. Maana bado hatujasahau walichofanywa kwenye mechi ya ugenini na Kaizer Chiefs msimu uliopita.
Bora Waarabu wa Libya ila kwa huyu Kazi anayo
 
Jifunze kua mwanaume, kisa simba tu unapayuka ovyo na kucheka cheka, kwakwakwa, una akili timamu, mwanaume aliyetahiriwa hayuko hivyo, ooh simba sjui atafanywaje kwakkwakwa pumbavu kabisa, hata kama huipendi timu, itoshe kuiheshimu kwa inachofanya , chuki kwa timu nyingine isikufanye ukajisahau kua wewe ni mwanaume na unapaswa kuekt as a man, sio kila saaa kwakwakwwakwa !
Mkuu naomba nikae kimya tu, uwe na wakati mwema!
 
Reality ni ipi? Orlando Pirates na Simba ipi ni timu? Kumbuka Orlando ni vinara wa kundi lao
UHALISIA NI KWAMBA KWA NGAZI HII YA ROBO FAINALI NI NGUMU KULIKO GROUP STAGE, ZOTE NI TIMU KUBWA NA BORA SIKATAI ILA HAWA ORLANDO PIRATES NI WAZURI WAKIWA KWAO KWA HIYO INACHOTAKIWA SIMBA AVUNE MTAJI MKUBWA WA MAGOLI HAPA TAIFA
 
Utaratibu ni ule ule, Marafiki wa Orlando Pirates huu ni uzi wetu. Hapa ndio mahali tutakapokuwa tunakutana kupanga mikakati ya ushindi.

Mechi robo fainali tutacheza dhidi ya simba ya huko Tanzania. Mechi ya kwanza tutaanzia huko kwao kisha mechi ya pili watakuja hapa soccer city.

Tujitahidini sana tuwanyooshe kipigo kizito watakapokuja hapa South. Kule kwao watatumia hila zote na wataibuka na ushindi wa goli 2-1 wakika huku tunapiga 5-0.

Kwa mliopo Dsm jezi zipo maduka mbalimbali kariakoo.

Uzi huu ni endelevu na mpaka pale Orlando itakapofika nusu fainal

07EC8DB5-E340-41B1-9745-A1531D3CB0C5.jpeg


2B6DB23C-65A0-42B5-A6E7-AF9A30B860AE.jpeg
 
Naona Maombi yenu tukutane na Timu Dhaifu kwa sasa ya Al Ahly Tripoli ya Libya yamekataliwa na sasa tumepewa Matajiri na Majabali wa Soka la Afrika Orlando Pirates FC ya South Africa.

Kama Mbabe wetu Kaizer Chiefs FC kila akikutana na Orlando Pirates anachezea tu Kichapo ndiyo itakuwa Waswahili wa Kariakoo na Msimbazi?

Na msijidanganye katika Uchawi ( Ndumba ) kwani hawa Jamaa kwa Uchawi ndiyo Vinara na ili Kuonyesha kuwa hawatanii hata nchini Afrika Kusini sasa kuna Chuo Kikuu cha Uchawi ( Sangoma ) ambacho kwa sasa GENTAMYCINE namalizia dissertation yangu ili Nihitimu na mnikome rasmi na zaidi hapa Tanzania na hapa JamiiForums kwa wale watakaokuwa na Viherehere na Mimi.

Orlando Pirates FC wana Mawinga ( Viberenge ) wao Watatu ni hatari tupu halafu wanakimbia Tuisila Kisinda anasubiri kudadadeki.

Sasa Utamu wa Orlando Pirates FC ni katikati ( Midfield ) Wana Watu wawili hao wanapiga Pasi Mchomozo na Pasi Upendo Chama na Bwalya wakasubkri na kuna muda huwa wanapiga Pasi bila Kufumbua Macho na inafika kunakotakiwa.

Mwisho ni kwa Washambuliaji wao wakati Sisi Simba SC huku Kwetu Tanzania Fiston GENTAMYCINE Mayele anatusumbua sasa Orlando Pirates FC wana Washambuliaji wao Wanne ambao ni mara Kumi na Tano ya alivyo Mayele na kwa Beki 'nyoro nyoro' ya Simba SC naona tunafungwa idadi ya Goli ambazo hata katika Kikapu hayataenea iwe Mechi ya hapa Nyumbani Tanzania na kule Kwao Afrika Kusini.

Tukiwatoa hawa Orlando Pirates FC naahidi Kujisaidia Haja Kubwa ( Kunya ) kuanzia Stendi ya Mabasi Mbezi Mwisho ( Louis ) Dar es Salaam mpaka Msamvu Morogoro.

Mwisho wetu umeshawadia tusinune!!!!
 
Hakika na kwa wote weñye uhitaji WA uzi huo tuwasiliane ninao dukan
 
Point yako ni nini hasa?

Tuwakimbie tusicheze nao?
 
Naona Maombi yenu tukutane na Timu Dhaifu kwa sasa ya Al Ahly Tripoli ya Libya yamekataliwa na sasa tumepewa Matajiri na Majabali wa Soka la Afrika Orlando Pirates FC ya South Africa...
UKWELI HUMUWEKA MTU HURU

SEMA HII GAME NGUMU KWENU WATANI
 
Back
Top Bottom