Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
God gave us mouths that close and ears that don't. That should tell us something.Hujatahiriwa wewe. Mwanaume aliyekatwa govi lile haweza kuropoka ovyo ovyo na kujichekesha chekesha ovyo kama wale wadada wanaoshinda baa, kisa simba. Pumbavu. Kama we ni mwanaume unatakiwa ue kama mwanaume kweli , sio kama govi.
EXPECTATIONS VS REALITYHii ni pigo kwa Simba,timu nzuri ilikuwa zile za Misri kama iliyocheza na Biashara Al Ittihad..
Orando ni mlima mrefu.
Reality ni ipi? Orlando Pirates na Simba ipi ni timu? Kumbuka Orlando ni vinara wa kundi laoEXPECTATIONS VS REALITY
Hawezi anzia ugenini wakati hakuongoza kundi.Natamani hii mechi Simba angeanzia Ugenini.
Bora Waarabu wa Libya ila kwa huyu Kazi anayoDah! Kweli ng'ombe wa maskini hazai! Yaani hapo Simba ana wakati mgumu. Bora hata angekutana na hao Waarab wa Libya, au Tp Mazembe!
Anyway, ngoja tusubiri tuone. Kwa sababu lolote linaweza kutokea. Maana bado hatujasahau walichofanywa kwenye mechi ya ugenini na Kaizer Chiefs msimu uliopita.
Hili ndilo tatizo lenu . Siku akipigwa Orlando lugha inageuka kwamba Orlando ya sasa ilishakuwa vibondeHii ni pigo kwa Simba,timu nzuri ilikuwa zile za Waarabu kama iliyocheza na Biashara Al Ahly Tripoli au Al Ittihad zote za Libya
Orando ni mlima mrefu.
Mkuu naomba nikae kimya tu, uwe na wakati mwema!Jifunze kua mwanaume, kisa simba tu unapayuka ovyo na kucheka cheka, kwakwakwa, una akili timamu, mwanaume aliyetahiriwa hayuko hivyo, ooh simba sjui atafanywaje kwakkwakwa pumbavu kabisa, hata kama huipendi timu, itoshe kuiheshimu kwa inachofanya , chuki kwa timu nyingine isikufanye ukajisahau kua wewe ni mwanaume na unapaswa kuekt as a man, sio kila saaa kwakwakwwakwa !
UHALISIA NI KWAMBA KWA NGAZI HII YA ROBO FAINALI NI NGUMU KULIKO GROUP STAGE, ZOTE NI TIMU KUBWA NA BORA SIKATAI ILA HAWA ORLANDO PIRATES NI WAZURI WAKIWA KWAO KWA HIYO INACHOTAKIWA SIMBA AVUNE MTAJI MKUBWA WA MAGOLI HAPA TAIFAReality ni ipi? Orlando Pirates na Simba ipi ni timu? Kumbuka Orlando ni vinara wa kundi lao
😅😅😅😅😅Ya Kaiser chief hayooo!!!
Hivi hawa Orlando wanahistoria gani kwenye michuano mikubwa ya CAF?Mmmh simba ataweza kweli kumalizia game ugenini?
UKWELI HUMUWEKA MTU HURUNaona Maombi yenu tukutane na Timu Dhaifu kwa sasa ya Al Ahly Tripoli ya Libya yamekataliwa na sasa tumepewa Matajiri na Majabali wa Soka la Afrika Orlando Pirates FC ya South Africa...