Droo ya robo fainali kombe la Shirikisho Afrika: Simba kukipiga na Orlando Pirates

Naomba connection ya page ya orlando piratea nione jinsi wabongo walivyoivamia na viingereza vyao brocken
Kwa hiyo na wewe kabisa unaenda kuwacheka wenzio wanaongea kingereza kibovu...dunia ina maajabu hii
 
Simbs SC the pride of Tanzania.

Simba SC heshima ya Tanzania.

Ndivyo ilivyo taamkwa.
Huoni hiyo tu ni heshima.
Simba go go go all the way.

Afrika Mashariki hakuna mwakilishi zaidi ya Simba S C.

Muhimu Orlando Pirates Dar - hatoki 2- 0.
Mark my word.
Mengine ni Mungu.
 
Ngozi nyeusi ni laana, na roho za hivi zipo Bongo tu
 
NDIO UTANI HUO, SIO YULE MWENZAKO KULE ANANITOLEA POVU KUNITUKANA NA MIMI WALA HATA SIJAMTUKANA

Kuombeana mabaya kwa sisi watani ni kitu cha kawaida ila kuna wengine mahaba yamewazidi utani hawauwezi
Mpira ni furahaaaaa sio vitaaaa
Utaniii kwenye mpira lazimaaaaa
 
2 BILA DAR SAWA, VIPI KULE UGENINI?
 
Kwaiyo vp sasa mshashona saree za reception maaana nyie ndo wakarinisha wageniiii wetu na tunawategemea sanaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mnaukarimu sanaaaa🐸🐸🐸🐸
Jezi tushanunua za mafungu pale kariakoo tayari
 
Uto... kwenye ubora wenu
 
Reality ni ipi? Orlando Pirates na Simba ipi ni timu? Kumbuka Orlando ni vinara wa kundi lao

Kama swala ni kuwa kinara wa kundi, msimu uliipita Simba Sc alikuwa kinara wa kundi kama ilivyo kwa Orlando sasa, alifika wapi?

Wewe baki kule uimbe mapambio ya mama mama mama, mambo ya mpira utayawezea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…