Duh. Nimeona Mshindi kati ya Yanga vs Kagera atacheza na Mshindi kati ya Simba vs Azam. Hii ni wazi kuwa Simba itaharibu safari ya Azam na Yanga na kuirahishishia kazi NAMUNGOSijajua bado ila mechi ya simba na azam ni ngumu maana simba anataka kombe ,azam naye anataka kwenda confederation cup
Mechi rahisi mno hii.Naona mechi ya SIMBA vs AZAM ndo mechi ngumu
IndeedDuh. Nimeona Mshindi kati ya Yanga vs Kagera atacheza na Mshindi kati ya Simba vs Azam. Hii ni wazi kuwa Simba itaharibu safari ya Azam na Yanga na kuirahishishia kazi NAMUNGO
Na Yanga au Kagera!Naiona njia nyeupe kwa Yanga. Ila sijajua Mshindi kati ya Simba na Azam atakutana na nani.
Mimi nawatamani sana Mnyero United mana kale kagoli kamoja japo kanatufurahisha kiukweli hatujaridhika kwa kweli!nawatamani vyura nusu fainali, watatueleza lile goli la morrison walilipataje ?
[emoji23][emoji23][emoji23]Semi final
Kagera vs simba
Namungo vs Ndanda
Utaweza kweli yeboyeboMimi nawatamani sana Mnyero United mana kale kagoli kamoja japo kanatufurahisha kiukweli hatujaridhika kwa kweli!
Sent from my Infinix NOTE 3 Pro using JamiiForums mobile app
Bidada naona upo vizuri pia kwenye uchambuzi wa sokaHili kombe linatua msimbazi Azam ni kibonde, hata records zinaonyesha Azam kapigwa sana na Simba
Namungo ikicheza refa anakuwa PMHiyo Namungo mbona mnaipa kipaombele hivo