Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Droo ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam imechezeshwa leo ambapo mechi za hatua hiyo zimepangwa kuchezwa kwa siku mbili, Juni 27 na Juni 28, mwaka huu
Katika hatua hiyo watetezi, Azam FC imepangwa kuvaana na Simba SC, huku Yanga SC ikiialika Kagera Sugar, Namungo FC itacheza dhidi ya Alliance FC na Sahare All Star itacheza na Ndanda SC
Washindi wa mechi hizo watakutana katika hatua ya nusu fainali ambazo zitachezwa kati ya Julai 11 na Julai 12 mwaka huu