Droo ya robo fainali UEFA imepangwa. Ratiba nzima hii hapa

Sawa japo Ac Milan ndiye mwenye historia nzuri ya UEFA champions league kuliko Napoli. Ngoja tuone itakuwaje ila natamani kombe msimu hiu liende Italy. Timu za upande wa pili zikimruhusu Madria aende fainali basi Madrid analibeba hili kombe.
Hamna mu italy wa kubeba kombe Kwa upupu ule wa Milan na Napoli Leo ovyo kabisa na Ni Bora final aende Ac Milan au Inter wale Napoli ovyo kabisa wanacheza game ya UEFA kama vile wanacheza game ya ligi kuu
 
Thomas Tuchel alipotwaa UEFA CHAMPIONS LEAGUE akiwa na akina Timo Werner 2021.
Mkuu timu nzima alikua anacheza werner peke yake?
Mount,rudiger,kante,thiago,joginho,james, chilwell,mendy,azpilicueta hawa nao hawakua na quality?
 
Hamna mu italy wa kubeba kombe Kwa upupu ule wa Milan na Napoli Leo ovyo kabisa na Ni Bora final aende Ac Milan au Inter wale Napoli ovyo kabisa wanacheza game ya UEFA kama vile wanacheza game ya ligi kuu
Mkuu inaonekana Napoli wamekuchania mkeka. Nilitoa angalizo tokea mapema kuwa hawa Napoli kwa Ac Milan wasipewe guarantee ya kushinda maana wametoka kufungwa goli nne siku sio nyingi na hao hao.

Kuhusu fainali, naona ni ngumu sana kwa timu zilizo upande wa kushoto kushindana na timu zilizopo upande wa kulia. Timu za upande wa kushoto (Benfica,Inter, Ac Milan na Napoli) zote tia maji tia maji tu.
 
Sijabeti ila Napoli ni rahisi sana kutabilika wanacheza vip ila pengo la victor osimhen linemewakosti sana
 
Kuna meza zitapinduka second leg na hapo ndio utamu wa mpira tunaoutaka, tuna Imani concentration itakuwa juu sana second leg.
 
Fainali lazima kuwe na team ya Italy. Ninatamani AC Milan wabebe hii ndoo.
 
Kuna meza zitapinduka second leg na hapo ndio utamu wa mpira tunaoutaka, tuna Imani concentration itakuwa juu sana second leg.
Waliofungwa kwa tofauti ya goli zaidi ya moja, hao wameshaumaliza mwendo. Labda game ya Napoli vs Ac Milan inaweza kuwa na mabadiliko pengine.
 
Mjomba Milan anaenda semi final kama umeona game ya jana na Napoli Milan kacheza Kwa nidhamu kubwa sana Napoli ni upupu anacheza game ya champion leauge kama anacheza mechi za ligi
 
Mkuu wachezaji wa Ac Milan wamefanya makosa mengi sana tena ya kizembe, aliyefanya mechi iishe kwa clean sheet ni kipa wa Ac Milan aliyefanya saves nyingi sana. Napoli walishindwa kutumia nafasi nyingi walizozotengeneza
 
Back
Top Bottom