Droo ya robo fainali UEFA imepangwa. Ratiba nzima hii hapa

Droo ya robo fainali UEFA imepangwa. Ratiba nzima hii hapa

Pep inabidi amtafute mganga wake mapema Bayern ni kifurushi cha misumali
 
Chelsea,Man city,acmillan,intermilan out.

Bayan,Napoli,Real Madrid,Benfica in.

Pep Guardiola hana uwezo wa kuwatoa bavarian.

Na huyo GRaham potter hana uwezo wa kuvuka mto🤣
 
Anawajua kivipi? Unazungumzia miaka 10 imepita mpaka leo bado anawajua ama kisa alifundisha ndio kuwajua mambo yanabadilika bwashee
Man City atapita kiwepesi sana maana Pep Gadiola anaelewa madhaifu yote ya Bayern Munich na alishawahi kuwafundisha hao hao Bayern Munich akiwa kwenye Bundes Liga.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
UCL wana nn na sisi Citizens?? Kila tukifika Robo wanatupa mbabe tubondwe tutokeee.

Jaman na sisi tunataka kunyanyua kwapa la UCL
[emoji170][emoji170] [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
UCL wana nn na sisi Citizens?? Kila tukifika Robo wanatupa mbabe tubondwe tutokeee.

Jaman na sisi tunataka kunyanyua kwapa la UCL
[emoji170][emoji170] [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
bayern mchezaji ni musiala tu, tunawapiga usiogope
 
Man city na Inter tayari mguu mmoja nusu fainali. Fainali ya UEFA champions league msimu itahusisha timu moja kutoka Italy.
 
Back
Top Bottom