Droo ya robo fainali UEFA imepangwa. Ratiba nzima hii hapa

Droo ya robo fainali UEFA imepangwa. Ratiba nzima hii hapa

UCL wana nn na sisi Citizens?? Kila tukifika Robo wanatupa mbabe tubondwe tutokeee.

Jaman na sisi tunataka kunyanyua kwapa la UCL
[emoji170][emoji170] [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Leta matokeo hatuja ruhusu gori wamecheza sana uko watatufunga 2 kwa1
 
Leta matokeo hatuja ruhusu gori wamecheza sana uko watatufunga 2 kwa1
Bado ngoma mbichi, wala usijipe matumaini hayoo. Tunaweza kushangazwaa km sio kishtushwaa.
 
tushittt umegarafazwa. Safi sana. Wale waliokua wanamwita mbabe wa Pep wako wapi?
 
Never say never mkuu...

Usishangae akapasuka kwa Napoli huko fainali...
Napoli leo ataingia na nidhamu zote kwa Ac Milan, yaliyomkuta wiki iliyopita ni surprise kwao kuelekea mechi yao ya champion league.
IMG_20230412_183253.jpg
 
Ile ilikua ni seria A na hii ni uefa mkuu.
Sawa japo Ac Milan ndiye mwenye historia nzuri ya UEFA champions league kuliko Napoli. Ngoja tuone itakuwaje ila natamani kombe msimu hiu liende Italy. Timu za upande wa pili zikimruhusu Madria aende fainali basi Madrid analibeba hili kombe.
 
Back
Top Bottom