Droo ya robo fainali UEFA imepangwa. Ratiba nzima hii hapa

Droo ya robo fainali UEFA imepangwa. Ratiba nzima hii hapa

Madrid safari hii wasitegemee watashinda kizembe kama mwaka Jana round hii watapigwa hawataamini, na man city asioochukua kombe mwaka huu hachukui tena.
 
Mwanzo wakati natazama Seria A kitu kilichokua kinanikela ni kimoja ligi Yao inamvuto ila timu zao kweny champions league zinabweteka ila Kwa kipindi hichi Seria A imeaza kurudi kweny ubora wake Napoli na Milan bonge moja la game
 
Ni mechi itakayokuwa na magoli zaidi ya mawili.
 
  • Real Madrid Vs Chelsea
  • Inter Vs Benfica
  • Man City Vs Bayern Munich
  • Ac Milan Vs Napoli
Nusu Fainali

-Mshindi kati ya Ac Milan Vs Napoli atakutana na mshindi kati ya Inter Vs Benfica

-Mshindi kati ya Real Madrid Vs Chelsea atakutana na mshindi kati ya Man City Vs Bayern Munich

Tofautisha kati ya Draw na Ratiba. Nimekimbia humu nikajua ntapata tarehe za michezo
 
Back
Top Bottom