EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
Namaanisha hiyo nusu ya simba na zamaleck ndio itakuwa kama fainali tayari sababu ya attention itayokuwepo.Hawawezi kucheza fainali maana draw inaonyesha wote wakivuka robo fainali inabidi wakutane nusu fainali.
Final kabisaaa, [emoji881][emoji881]Ngoja tuonee..safari hii Simba to the semi_final [emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
Kwani ili mkutane na Asec nyie mpo mashindano gani?Tulikuwa tunamlilia Asec. Lol.
Hapa viroho vinatudunda hatari.
Sahihi kabisa, game moja tough sana itakayokuwa na tension kubwa. Ila wachezaji wa Simba wafocus kwanza kwa Al Masry. Stellenbosch anaweza pia kufanya upset na kumtoa Zamalek, yote haya yanawezekana.Namaanisha hiyo nusu ya simba na zamaleck ndio itakuwa kama fainali tayari sababu ya attention itayokuwepo.
Tunasemea confederation.Barca na Madrid wakicheza huko uarabuni hamshangai, INTER na AC wakicheza huko hamstuki kabisa
Nacheka kama mazuri. Lol. πππ
Sioni wa kutuzuia safari hiiiFinal kabisaaa, [emoji881][emoji881]
SanaSISI WANASIMBA TUNASHUKURU KWA KUSHIRIKI, HAWA AL MASRY WANA BALAA SANA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Young African will face Mwigulu Nchemba at Liti stadiumTusubiri draw ya CAFCL tuone mabingwa wa kihistoria Yanga Afrika itapangwa na nani
Lazima watapangwa na mabeto fc.Tusubiri draw ya CAFCL tuone mabingwa wa kihistoria Yanga Afrika itapangwa na nani
Kama ni rahisi mchukue tuone.Sio Nusu, ni Final na kubeba kombeee!!
Weraaaaa weraaaaa! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lol.Kwani ili mkutane na Asec nyie mpo mashindano gani?
Mtaniiii! Kuwa mpoleee mbna mambo mazuri yaja na utafurahi.Kama ni rahisi mchukue tuone.
Dah nimesikitika sana. Yaani Simba inaenda Misri kucheza na Al Masry halafu Yanga inasafiri hadi mwisho wa reli kucheza na Mashujaa.Young African will face Mwigulu Nchemba at Liti stadium