Droo ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 | Doha, Qatar | 20.02.2025

Droo ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 | Doha, Qatar | 20.02.2025

Namaanisha hiyo nusu ya simba na zamaleck ndio itakuwa kama fainali tayari sababu ya attention itayokuwepo.
Sahihi kabisa, game moja tough sana itakayokuwa na tension kubwa. Ila wachezaji wa Simba wafocus kwanza kwa Al Masry. Stellenbosch anaweza pia kufanya upset na kumtoa Zamalek, yote haya yanawezekana.
 
Nacheka kama mazuri. Lol. 😃😃😃
IMG_5372.jpeg
 
Back
Top Bottom