Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
South Africa wana miji mikuu mitatu tena wala haina msongamano , hawa jamaa wapewa pongezi kila kona kwao watu wanafuata fursa na maendeleo yanafuata ..Miji mikuu mitatu ina watu range ya milion 3 na hakuna uliofika watu 3.5 .Shughuli. Peleka shughuli za msingi zinazofanya watu kwenda Dar mikoa mingine. Mfano wizara kwenda Dodoma permanently.
Fufua bandari za Tanga na Lindi zifanye kazi kwa capacity kubwa msongamano utaanza kupungua Dar.
Wekeza kituo kingine cha biashara kuipa Kariakoo ushindani. Serikali inabidi ifanye uwekezaji kuvutia wafanyabiashara kuhamia huko lazima itoe incentives.
Hili limefanyika nchi nyingi sana duniani sio jambo geni. Either kwa kuhamisha capital city au kutawanya shughuli ndo maana nchi zingine unakuta zina majiji matatu au manne makubwa sio mji mmoja tu kama TZ na Dar.
In the USA, White House, bunge na supreme court zipo Washington DC. Biggest airport in Atlanta. Entertainment and tech in California. Stock exchange New York. CIA Virginia. The list goes on and on. Bongo kila kitu ni Dar. Huwezi shindana na influx ya watu.
Uwiano ni mkubwa sana , njoo Dar sasa hapo watu wapo kama milllion 6 kitu ambacho ni sawa na miji mikubwa miwili ya South Africa .