DSM kwa sasa inahitaji treni na sio mwendokasi

Shughuli. Peleka shughuli za msingi zinazofanya watu kwenda Dar mikoa mingine. Mfano wizara kwenda Dodoma permanently.

Fufua bandari za Tanga na Lindi zifanye kazi kwa capacity kubwa msongamano utaanza kupungua Dar.

Wekeza kituo kingine cha biashara kuipa Kariakoo ushindani. Serikali inabidi ifanye uwekezaji kuvutia wafanyabiashara kuhamia huko lazima itoe incentives.

Hili limefanyika nchi nyingi sana duniani sio jambo geni. Either kwa kuhamisha capital city au kutawanya shughuli ndo maana nchi zingine unakuta zina majiji matatu au manne makubwa sio mji mmoja tu kama TZ na Dar.

In the USA, White House, bunge na supreme court zipo Washington DC. Biggest airport in Atlanta. Entertainment and tech in California. Stock exchange New York. CIA Virginia. The list goes on and on. Bongo kila kitu ni Dar. Huwezi shindana na influx ya watu.
South Africa wana miji mikuu mitatu tena wala haina msongamano , hawa jamaa wapewa pongezi kila kona kwao watu wanafuata fursa na maendeleo yanafuata ..Miji mikuu mitatu ina watu range ya milion 3 na hakuna uliofika watu 3.5 .

Uwiano ni mkubwa sana , njoo Dar sasa hapo watu wapo kama milllion 6 kitu ambacho ni sawa na miji mikubwa miwili ya South Africa .
 
Jiji la Dar es salaam limeshapita level ya mabasi ya mwendokasi kutokana na idadi ya watu kuwa kubwa hasa pembezoni mwa mji.

Kwa sasa jiji la DSM linahitaji treni ili kuendana na kasi ya kuongezeka kwa idadi ya watu. Walau ruti nne za treni zinahitajika.

1. Gerezani- Tegeta-Bagamoyo
2. Gerezani-Mbezi-Kibaha
3. Gerezani-Mbagala-Kongowe
4. Gerezani-Pugu-Kisarawe

Utafiti wangu mdogo ni kuwa Mwendokasi Mbezi haijapunguza hata kidogo tatizo la usafiri kwa abiria. Watu wanajaa kupita kiasi na foleni ya abiria pale Mbezi kama huna uvumilivu unaweza kuondoka bila kupanda basi. Watu 200 wamesimama kwenye foleni wanasubiri basi ambalo bado halijafika na likifika linachukua watu 80-90 wengine mnaendelea na msoto.

Watu wa mipango jiji la DSM limewazidi akili kila mnachopanga inaonekana kama kimepitwa na wakati. Tuachane na mwendokasi twendeni kwenye treni. Jiji la DSM linakimbia wakati watu wa mipango wanatambaa.

Ahsante!
Tatizo la mwendokasi wala sio mabasi ni management. Kaangalie mabasi yaliyopark pale deport Ubungo. Karibu 80 na yote ni mabovu...

Hata wakileta treni. Kama management ni kama ya hii BRT bus mambo yatakuwa worse zaidi.

Mfumo wa mwendokasi uendeshwe vzr. Unatosha kabisa kwa jiji la dar
 
Kwenye njia hizo za mwendokasi wanaweza wakaongeza njia za trams kuelekea hayo maeneo uliyoyataja. Mixing ya bus na trams ndiyo itakuwa mwarobaini wa public transport hapo mkoani kwenu.
 
Tatizo la mwendokasi wala sio mabasi ni management. Kaangalie mabasi yaliyopark pale deport Ubungo. Karibu 80 na yote ni mabovu...

Hata wakileta treni. Kama management ni kama ya hii BRT bus mambo yatakuwa worse zaidi.

Mfumo wa mwendokasi uendeshwe vzr. Unatosha kabisa kwa jiji la dar
Dar bado ina watu wengi sana yaani hata yote yawe active barabarani bado , tena yanaleta uchafu zaidi na foleni .....Dar kuna watu wengi sana tena wanaoenda sehemu moja kwa wakati mmoja kama soko kubwa ni kariakoo na ofisi nyingi zipo posta , hilo ndio tatizo .

Ukiona pale Mbezi mwisho abiria kama wapiga kura walivyojipanga kitu ambacho ni hatari sana maana mpaka wanasukumana kweny barabara ni huruma kwa kweli .
 
Hapa unexaggerate mkuu... Hizo BRT buses zinaleta foleni wap wakati zina njia yake?
Siku za jmapili, wakati wa mchana na siku za mapumziko baadhi ya Routes ukiondoa ya kariakoo mabasi yanabeba watu 20 tu hata hayajai hasa route ya Morocco. Na hapo mabasi zaidi ya nusu yamepark pale ubungo mengine gerezani..
Management wanashindwa kujua ni wap watu huwa wengi na wap wapeleke mabasi kwa muda flani?

Solution ya uchafuzi ni kuagiza mabasi ya umeme kabisa. Tena mnawapa tender wale waganda wa pale kiira. Ili iwe rahisi kuwa na warrant ya matengenezo yakiaharibika.

Wataketa treni itakuwa inasubiri 30 minutes ijae ili iende maana haiwezi kwend nusu.
 
South Africa wana miji mikuu mitatu tena wala haina msongamano , hawa jamaa wapewa pongezi kila kona kwao watu wanafuata fursa na maendeleo yanafuata ..Miji mikuu mitatu ina watu range ya milion 3 na hakuna uliofika watu 3.5 .

Uwiano ni mkubwa sana , njoo Dar sasa hapo watu wapo kama milllion 6 kitu ambacho ni sawa na miji mikubwa miwili ya South Africa .

Hivyo ndo inatakiwa kuwa. Ukiongeza miundombinu Dar na kusahau mikoa mingine kila mtu atahamia Dar itakua mwendo ule ule kila siku kuongeza miundombinu Dar na haitatosha.
 
Fungua nchi watu watawanyike. TZ sio DSM tu. Hata treni ziende kila kona kama influx ya watu itaendelea miundombinu itazidiwa tu.
Mkuu, hongera sana. Umeongea point kubwa mno. Nakuomba ikiwezekana uandae uzi maalum kuelezea kwa kina hoja yako hii.
Kiukweli Dar imejaa na kila siku watu wanakuja Dar, Mji una watu kama 7m kwa sasa na bado wanaongezeka, ni balaa.
 
Wazo zuri sana, ila nani wa kulifanya
Think tank wetu wamo humu ila sio maofisini
 
Mkuu, hongera sana. Umeongea point kubwa mno. Nakuomba ikiwezekana uandae uzi maalum kuelezea kwa kina hoja yako hii.
Kiukweli Dar imejaa na kila siku watu wanakuja Dar, Mji una watu kama 7m kwa sasa na bado wanaongezeka, ni balaa.

By 2070 Dar is projected kuwa na population ya 37M. One among the world top ten most populated cities. Huwezi shindana na hili ongezeko.
 
Ni hatari sana. Miaka hiyo watu watakuwa wengi mno, uhalifu lazima utakuwa ni mkubwa, najiuliza hali ya maisha kiuchumi na ajira kwa watoto wetu, wajukuu zetu, vitukuu vyetu.
 
Hapa unexaggerate mkuu... Hizo BRT buses zinaleta foleni wap wakati zina njia yake?
Siku za jmapili, wakati wa mchana na siku za mapumziko baadhi ya Routes ukiondoa ya kariakoo mabasi yanabeba watu 20 tu hata hayajai hasa route ya Morocco. Na hapo mabasi zaidi ya nusu yamepark pale ubungo mengine gerezani..
Management wanashindwa kujua ni wap watu huwa wengi na wap wapeleke mabasi kwa muda flani?

Solution ya uchafuzi ni kuagiza mabasi ya umeme kabisa. Tena mnawapa tender wale waganda wa pale kiira. Ili iwe rahisi kuwa na warrant ya matengenezo yakiaharibika.

Wataketa treni itakuwa inasubiri 30 minutes ijae ili iende maana haiwezi kwend nusu.
Capacity bado ni ndogo , kawaida ya gari route za asubuhi kwa wakati mmoja ndio kuna uhitaji mkubwa na jioni wakati wa kurudi .

Jaribu kufuatilia asubuhi na jioni ndio utajua . Ukitaka kupima kakae pale mbezi mwisho asubuhi na jioni uone ....Mchana zinakuwa tupu .
 
Tatzo la nchi yetu ni kwamba tuko busy kujenga kimji kimoja tu ndio maana raia wanarundikana tu hapa Dar ,na ofcourse kwa hali hii tunahtaji hzo train mwendokasi zipelekwe Mwanza na Dodoma kwa Dar hazfui dafu.
 
Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.

Hakuna mipangilio ya miji wala vijiji tangu mkoloni aondoke nchi hii, Watu wanaishi na kujenga hovyo hovyo tu bila mpangilio wowote ule.

Jiji la Dar es salaam ni SLUM. Watu wamekaa na wanaishi varuvaru tu kama mapanya yaliyotoka kuzaliana.
Tatizo ni watu au uongozi ?

Anyways tupe maoni ya suluhisho la tatizo, nini kifanyike
 
Mkuu Nafikiri Hilo ni Wazo Zuri.Tunaweza Tengeneza Tram Trains ambzo ni tofauti n Train za kawaida na zinweza kufuata Network ya Barabara iliyopo
 
Kinachonishangaza,hawa planner wetu wanaona kabisa bado adha ya usafiri iko vile vile au imeongezeka zaidi.

Baada ya kuja na solution ndo kwanza wanazidi kuzijenga hizi barabara za mwendo kasi,
Yani kweli kwa dar kwa sasa tunahitaji sana tram.
 
Yes hapo sawa
Ss mkuu unamuona Kuna kiongozi yoyote anaewez kufanya haya? Ukiangalia Kwa Hawa waliopo🤣🤣
Shughuli. Peleka shughuli za msingi zinazofanya watu kwenda Dar mikoa mingine. Mfano wizara kwenda Dodoma permanently.

Fufua bandari za Tanga na Lindi zifanye kazi kwa capacity kubwa msongamano utaanza kupungua Dar.

Wekeza kituo kingine cha biashara kuipa Kariakoo ushindani. Serikali inabidi ifanye uwekezaji kuvutia wafanyabiashara kuhamia huko lazima itoe incentives.

Hili limefanyika nchi nyingi sana duniani sio jambo geni. Either kwa kuhamisha capital city au kutawanya shughuli ndo maana nchi zingine unakuta zina majiji matatu au manne makubwa sio mji mmoja tu kama TZ na Dar.

In the USA, White House, bunge na supreme court zipo Washington DC. Biggest airport in Atlanta. Entertainment and tech in California. Stock exchange New York. CIA Virginia. The list goes on and on. Bongo kila kitu ni Dar. Huwezi shindana na influx ya wa
 
Back
Top Bottom