Tetesi: DSTV kuindoa chanell namba 160 Maisha Magic Bongo

Tetesi: DSTV kuindoa chanell namba 160 Maisha Magic Bongo

Kuimarika kwa internet hizi dstv etc tunakoelekea zinakufa...maana saiv ukiwa na WIFI na smart tv na ukilipia baadhi ya app pesa kidogo hata elfu 20 haifiki , unaona tv almost zote duniani plus supersport zote channel plus movies and series zote utakazo
 
Dstv kuanzia mwezi ujao chanell namba 160 haitakuwepo tena zingatia kuwa hii ndo chanell pendwa na dada mama na wadog zetu je ni kweli au ni tetesi tu

Wameshatuma message kuwa wanaiondoa
 
Back
Top Bottom