Tetesi: DSTV kuindoa chanell namba 160 Maisha Magic Bongo

WIFI inategemeana na kampuni, Mfano zuku internet kifurushi Cha elfu 69 kwa mwezi unaweza connect simu zote Kwa wanafamilia, smart TV zote etc..hapo kwenye smart TV ndio unaweza kudownload YouTube, app za tv etc..hakuna mamilioni mzee.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nielekeze namna ya kudownload app kwenye smart tv
 
Kuimarika kwa internet hizi dstv etc tunakoelekea zinakufa...maana saiv ukiwa na WIFI na smart tv na ukilipia baadhi ya app pesa kidogo hata elfu 20 haifiki , unaona tv almost zote duniani plus supersport zote channel plus movies and series zote utakazo
Tupe infos mkuu..
 
Hivi hadi sasa pamoja na kashule niliko nako bado nashindwa kuelewa Jambo moja CHANNEL ZA TV ZINAMILIKIWA NA NANI?? UNAWEZA KUMILIKI CHANNEL BILA KUWA NA CHOMBO CHA HABARI?? Hao wanaoondoa hiyo channel means wamepata sehemu kwenye maslahi kama Azam je Channel haiwezi kuoneshwa Azam na Dstv???
Au dstv wameona hawana Maslahi na channel husika???
 
Tupe infos mkuu..
Usimchukulie serious huyo, dish litabaki kuwa dish na hizo technology zitabakia kivyake. Kwa bei za bando na speed ya internet bongo huwezi kukwepa DSTV, AZAM, STARTIMES etc, internet bei mbaya speed kichefuchefu ndo maana kwa bongo kwa watu wajanja hata smart TV sio dili sana. Halafu kuna raha unawasha decorder na TV tu unaanza kuchagua chanel unayoiependa. Ilikuja NETFLIX wabongo wakaibabaikia, bado wakarudi kwenye madish yetu ya kawaida tu. Anachomaanisha huyo jamaa unakuwa na TV ya smart, unailipia bando la internet wiki, mwezi etc, halafu unalipia application fulani ndo kama hiyo NETFLIX halafu ndo unaanza kuchagua chanel unayotaka. Haya umeona huo mlolongo anaodai utaua technology ya madish!?!?😆, Kumbuka hapo bando liwe la maana(unlimited) ya mwezi sio hizi Gb 4 elfu 10 wiki moja..
 
Kuimarika kwa internet hizi dstv etc tunakoelekea zinakufa...maana saiv ukiwa na WIFI na smart tv na ukilipia baadhi ya app pesa kidogo hata elfu 20 haifiki , unaona tv almost zote duniani plus supersport zote channel plus movies and series zote utakazo
Naomba darasa kidogo pm
 
Naomba darasa kidogo pm
Usimchukulie serious huyo, dish litabaki kuwa dish na hizo technology zitabakia kivyake. Kwa bei za bando na speed ya internet bongo huwezi kukwepa DSTV, AZAM, STARTIMES etc, internet bei mbaya speed kichefuchefu ndo maana kwa bongo kwa watu wajanja hata smart TV sio dili sana. Halafu kuna raha unawasha decorder na TV tu unaanza kuchagua chanel unayoiependa. Ilikuja NETFLIX wabongo wakaibabaikia, bado wakarudi kwenye madish yetu ya kawaida tu. Anachomaanisha huyo jamaa unakuwa na TV ya smart, unailipia bando la internet wiki, mwezi etc, halafu unalipia application fulani ndo kama hiyo NETFLIX halafu ndo unaanza kuchagua chanel unayotaka. Haya umeona huo mlolongo anaodai utaua technology ya madish!?!?😆, Kumbuka hapo bando liwe la maana(unlimited) ya mwezi sio hizi Gb 4 elfu 10 wiki moja..
 
DSTV wasipo jipanga vizuri watakimbia mjini kama wale GTV azam anajuwa kwenye biashara yuko vizuri na esabu ziko
Vizuri sana hakosei [emoji120][emoji871] toka huyu mwamba kaanzisha azam tv 2013 baada ya miaka 4 kuna kampun 3 zilipoteza ramani kabisa
Zuku
Statums
Continental
Dstv wao wanajikongoja [emoji16][emoji16] tu
 
Kuhusu AZAM kuwaua Zuku, Continental, startimes ni kweli, ila kwa DSTV sio kweli. Azam atabaki kuwa Azam na DSTV itabaki kuwa DSTV nae ana kundi kubwa tu wao ni DSTV tu, DSTV ana kundi lake, lile kundi ambalo halijawahi kuangalia movie au series ya kutafsiriwa. Ambalo kulipia elfu hamsini hadi laki kwa mwezi sio ishu. Azam ana soko lake kubwa tu na DSTV ana soko lake kubwa tu. Itabakia hivyo.
 
Nalipia package ya 105k na hilo takataka la maisha bongo sijui sijawahi angalia, DStv nalipia kwaajili ya mpira, documentaries na movie
 
Mtoa mada muongo hiyo Chanel ipo October 1 ni uzinduz wa tamthilia inaitwa chanda itaruka maisha magic bongo hapohapo ye anasema wanaitoa
DSTV wasipo jipanga vizuri watakimbia mjini kama wale GTV azam anajuwa kwenye biashara yuko vizuri na esabu ziko
Vizuri sana hakosei [emoji120][emoji871] toka huyu mwamba kaanzisha azam tv 2013 baada ya miaka 4 kuna kampun 3 zilipoteza ramani kabisa
Zuku
Statums
Continental
Dstv wao wanajikongoja [emoji16][emoji16] tu
 
Afadhali waitoe inawachukulia sana muda wake zetu. Juzi nimekula wali mkavu baada ya mboga kuungua yote mke akili yote iko kwenye hii chanel
 
Back
Top Bottom